Kesi aliyo wahi kushinda Riz1 Mahakamani

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Young Bilionea wa zama zetu riz1 ni mwanasheria kwenye kampuni ya watoto wa vigogo IMMA Advocates,kuna tetesi kuwa tangu ameanza kazi ya uwakili hakuna hata kesi moja aliyo wahi kuisimamia na kushinda. Nadhani hii inatokana na kudesa alipokuwa chuo.. Plz kama kuna mtu yeyote anajua kesi yoyote iliyo wahi kuwakilishwa na wakili riz1 atujuze tuone huyu Jakaya jr nae alivyo kilaza kama msure wake!
 
nani anaweza kumwamini asimamie kesi yake,jamaa hata chuo tunasikia alibebwa kufika huko
 
Peleka kwenye jukwaa la sheria basi. Siasa za jf sometime zinakera. mambo mengine yamekaa kiudaku udaku tu na chuki binafsi.
 
Ni vzuri tukijadili mada za kimaendeleo zaidi kuliko kuwapa umaarufu watu wasio na mchango wowote kwenye jamii zaidi ya kutumia migongo ya familia kujinufaisha. like Riz, who is he 2 TZ anyway?
 
Bila baba yetu kuwa rais sijui hata km uyu kijana angeweza kupata wenyekiti wa kitongoji mtaani kwao.
 
mmepoteza kumbukumbu nyie, ile kesi ya Umri wa Masauni-Mwenyekiti UVCCM mmesahau Riz alipiga jungu pale? Ndio ushindi wake!
 
Young Bilionea wa zama zetu riz1 ni mwanasheria kwenye kampuni ya watoto wa vigogo IMMA Advocates,kuna tetesi kuwa tangu ameanza kazi ya uwakili hakuna hata kesi moja aliyo wahi kuisimamia na kushinda. Nadhani hii inatokana na kudesa alipokuwa chuo.. Plz kama kuna mtu yeyote anajua kesi yoyote iliyo wahi kuwakilishwa na wakili riz1 atujuze tuone huyu Jakaya jr nae alivyo kilaza kama msure wake!
Anza wewe kwa kutueleza kesi moja tu aliyowahi kushindwa otherwise na wewe pia unataka kudesa majibu kwetu. BTW, watu wengi wa aina yako wanadhani kazi pekee ya wakili ni kwenda mahakamani kutetea jambo:FYI IMMA wanapata mpunga mwingi kutokana na kazi nyingine kama kusimamia viapo, will, urithi na ufilisi. Acha akili mgando.
 
Ridhiwani kwani ni jina la mtu?maana kuna kizolea uchafu hapa ofisin kinaitwa ridhiwani au £?¥
 
Tanesco wamechukua umeme wao huku kwetu tunduru. Naomba mwenye matokeo yanga vs red sea atupashe
 
Back
Top Bottom