Kesho vipi ni maulidi au

Maulid ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtume mtukufu Muhammad s.a.w. Dunia nzima waislamu huiadhimisha siku hii ndio maana na hapa nchini hakutokuwa na kazi KESHO.

Hakuna ayat hata moja kwenye Koran inayo waruhusu kufanya hivyo. Hii ni sikuku mliyo jipangia wenye bila ya ruksa ya Marehemu Muham-mad allah wenu.
 
Taarifa rasmi iliyotolewa na BAKWATA ni kuwa siku kuu ya maulid iliswaliwa Jumatano tarehe 16/02/11 mgeni rasmi ni mzee wetu rais mstaafu A.H.MWINYI.

Waongeze ulinzi, mzee wangu anaswe kibao hatutaelewana hapo!
 
Hakuna ayat hata moja kwenye Koran inayo waruhusu kufanya hivyo. Hii ni sikuku mliyo jipangia wenye bila ya ruksa ya Marehemu Muham-mad allah wenu.

Max Shimba tafadhali heshimu dini za watu. Ikiwa tumeruhusiwa au la ni choice yetu wenyewe wewe haikuhusu.

Mbona nyinyi mumechakachua sikukuu ya mapagani na kumuwekea Nabii Issa kuwa ni siku yake ya kuzaliwa na hamukerwi na mtu?
 
Mtume maisha yake ni mafunzo tosha katika muongozo wa
uadilifu kwenye maisha ya dunia.
-Jina lake ni Muhammad.
-Baba yake ni Abdullah.
-Mama yake ni Aamina.
-Aliemnyonyesha ni Halima.
-Mlezi wake(yaya) ni Barka(ummu ayman).
-Aliempokea wakt anazaliwa ni Shufa'a.
-Thuwayba alikua mjakazi wa baba'ke mdogo wa mtume (Abuu-lahab) siku aliyozawa mtume s.a.w alipopokea taarifa za uzawa wa mtoto wa ndugu yake hapo hapo alimwachia huru. Na ndie aliekwenda kunyonyesha tone la maziwa la kwanza kuingia kwa mtume.
Haya ni machache lakini yana hikma zaidi.

interesting....kwa nini mama mtoto hakumnyonyesha mwanae?
 
Mawlid is not permitted in the Koran. There is no any ayat that Allah is saying/commanding/authorizing people "muham-madans" to celebrate the birthday of Marehemu Muham-mad.

The Prophet said, "He who innovates something in this matter of ours that is not of it will have it rejected." He also said, "Beware of innovations, for every innovation (kul bida`) is misguidance."

The word every (kul) is a term of generalization, including all types of innovations, with no exception, and that therefore, celebrating Mawlid is misguidance.
 
interesting....kwa nini mama mtoto hakumnyonyesha mwanae?

Its not an interesting story but you could have asked to...what happened? Muhammad (s.a.w)was also a human being, hilo pia ulitambue.
 
Jamani swali ni kama sikukuu ipo au la. Naomba tujizuie kuhoji uhalali au la wa sikukuu yenyewe. Hilo ni jukumu la wenye dini.
 
Jamani swali ni kama sikukuu ipo au la. Naomba tujizuie kuhoji uhalali au la wa sikukuu yenyewe. Hilo ni jukumu la wenye dini.

Mkuu nafikiri kila mtu ana haki kuhoji uhalali wa maulidi. Ni sawa na kusema kuhoji ufisadi wa CCM ni jukumu la wana CCM. Maulidi imefisadi siku ya kufanya kazi.
 
Mkuu nafikiri kila mtu ana haki kuhoji uhalali wa maulidi. Ni sawa na kusema kuhoji ufisadi wa CCM ni jukumu la wana CCM. Maulidi imefisadi siku ya kufanya kazi.

Ianzishiwe thread nyingine sehemu husika. Kwa sasa Maulid ni sikukuu ya kitaifa na muanzisha thread alikua anauliza kama ipo.
 
interesting....kwa nini mama mtoto hakumnyonyesha mwanae?
Kwa kawaida waarabu walikua na desturi za kuwatafuta wanawake wa kuwanyonyesha wana wao. Pia kwa matamshi ingekua ugumu kwa Mtume s.a.w angeweza kurithi matamshi kuroka kwa *****. Kwa kabila la kiquraysh kuna ugumu wa kutamka harfu ya Dhwaad. Na hilo ilikua kuna umuhim wa kutafuta mwenye tabia nzuri na mengineo. Na hilo lipo wazi kuna makabila mother tongue zao ni hatari tupu!
 
Mawlid is not permitted in the Koran. There is no any ayat that Allah is saying/commanding/authorizing people "muham-madans" to celebrate the birthday of Marehemu Muham-mad.

The Prophet said, "He who innovates something in this matter of ours that is not of it will have it rejected." He also said, "Beware of innovations, for every innovation (kul bida`) is misguidance."

The word every (kul) is a term of generalization, including all types of innovations, with no exception, and that therefore, celebrating Mawlid is misguidance.
Ungefafanua kwanza what is mawlid?
Hapo namimi ningeweza nkusaidie kukuonesha mifano mingine ukiitafuta ndani ya Quraan tukufu hakuna.
Kila kitu ndani ya kuraa kina ufundi wake.
Kinachofanyika nlielezea mwanzo sherehe hizi kuna tafauti namna ya kusherehekea...na hiyo ndio inaweza kua tatizo kwa ufaham wa wengine.
 
Hakuna ayat hata moja kwenye Koran inayo waruhusu kufanya hivyo. Hii ni sikuku mliyo jipangia wenye bila ya ruksa ya Marehemu Muham-mad allah wenu.
Huyu si marhuum.
Kwa sababu kila inapotolea
Wa salaam kwake huwa akizijibu. Inatosha umwite Arrasuul llah.
Suala la sikukuu na mengine naona ni mapendekezo ya wajuzi wengine kwa faida zao. Hii ni kumbu kumbu ndani ya mwezi aliozawa Mtume Muhammad s.a.w.
Mambo yanayoenziwa ni kuelimishana kumbu kumbu tangu ...hadi kuzawa...maisha yake na faida nyinginezo.
Na hilo hakuna ubaya wowote.
Yale yanayoweza kua mabaya kama kueleza mambo tafauti na umuhimu wa kumb kumb zake hiyo itakua si vzuri.
 
Ungefafanua kwanza what is mawlid?
Hapo namimi ningeweza nkusaidie kukuonesha mifano mingine ukiitafuta ndani ya Quraan tukufu hakuna.
Kila kitu ndani ya kuraa kina ufundi wake.
Kinachofanyika nlielezea mwanzo sherehe hizi kuna tafauti namna ya kusherehekea...na hiyo ndio inaweza kua tatizo kwa ufaham wa wengine.

Kuna thread nyengine kuhusu maulid nimejaribu kumjibu huyo MaxShimba na wenzie. Otherwise nawatakia sikukuu njema ya mazazi ya mtume wetu kipenzi.
 
Kuna thread nyengine kuhusu maulid nimejaribu kumjibu huyo MaxShimba na wenzie. Otherwise nawatakia sikukuu njema ya mazazi ya mtume wetu kipenzi.
Thank u in advance.
Pia si vibaya aendelee kuhoji ikiwa anahitaji kuelewa kuliko ushabiki(partiality).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom