kesho udsm mgomo kwenda mbele

Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.

Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.

Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.

mkuu acha hizo! Wa MUHAS postgraduate wametekeleza taratibu zote sasa tangu Novemba wanapigwa danadana za UJE WIKI IJAYO! wamefika hadi wizarani majibu waliyopewa WE ACHA TU!!!

Tusiitetee serikali kwa hili kwani serikali ndio WAZEMBE!!!!!
 
tahadhari kwa police. msiwaue na hawa. kuna mtoto wangu pale na yeye ndo atakua mstari wa mbele. akifa tu na we jirani yangu nakumaliza. nimetoka jana rwanda nimesheheni mzigo wa kutosha tu.
 
Maamandamamo na migomo haitaisha TZ. bado wafanyakazi wanakuja. Tusubiri Dowans walipwe. Nchi itawaka moto.
 
Wanafunzi wa UDSM wanataka kugoma kwani mukandara amehamishwa? Wamesahau vitambulisho walivyovalishwa shigoni baada ya mgomo wa mwisho kutokea mwaka 2009!? Lets be realistic DARUSO ya kuanzia mwaka 2009 ni toothless dog ilishanyang'andmw.a makali siku hizi na wanafunzi wengi wamekua waoga.
 
Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.

Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.

Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.
We ulisoma wapi?? au ndio Makamba ktk utetezi wa chama. Watu wanadai haki yao wewe unasema siasa!!
 
Wanafunzi wa UDSM wanataka kugoma kwani mukandara amehamishwa? Wamesahau vitambulisho walivyovalishwa shigoni baada ya mgomo wa mwisho kutokea mwaka 2009!? Lets be realistic DARUSO ya kuanzia mwaka 2009 ni toothless dog ilishanyang'andmw.a makali siku hizi na wanafunzi wengi wamekua waoga.
 
tahadhari kwa police. msiwaue na hawa. kuna mtoto wangu pale na yeye ndo atakua mstari wa mbele. akifa tu na we jirani yangu nakumaliza. nimetoka jana rwanda nimesheheni mzigo wa kutosha tu.
mkuu unatutisha sie majirani zako
 
Na hili sasa waisakizie Cdm, maana Udom wameshasema kuwa ni uchochezi wa cdm..Hasidi hana sababu!
 
Kufanya mambo ya ajabu ni wanawake na wanaume au kina nani hasa? maana wote wanapewa bum sawa. Kuna aliyesema JK wamekausha hazina, me nakataa kwa sababu wale wote waliosubmit all requirements on time wamepata bum mtu anaambiwa asign hasign akiambiwa jaza form hajazi kwa wakati. Hivyo pamoja na matatizo ya kiufundi ya bodi ya mikopo wanafunzi wanajitakia matatizo. wanafunzi wanapewa 5000 kwa sasa lakini wataka 10,000/- na wanachohitaji ni kuishinikiza serikali iliangalie hilo before bonge la bajeti.

Mimi napenda kuwashauri wanafunzi kuwa makini na matumizi ya bum maana hata wakipewa 30,000/= per day alafu plan less hazitatosha. Serikali naishauri ifute kabisa bodi ya mikopo kwa sasa maana sisi tuligoma wakati ilipokuwa inajadiliwa bungeni ianzishwe tukaishia kula mabom na marungu, waachane na swala la idadi bila tija. watu wachache walipiwe na serikali waliofaulu vizuri na wengine walipiwe na wazazi wao.

Watu wengi wanawalipia watoto wao wa darasa la kwanza more than 1.6mln a year kwanini ashindwe kulipia 1.5 chuo kikuu?? The issue is sera na siyo maswala ya vyama vya siasa.

Unatukanganya!
 
Hivi unadata zozote zinazoonesha kuwa hao uliowataja kama wengi wenyeuwezo wa kuwalipia watoto wao hiyo 1.6m ni asilimia ngapi ya jamii ya watanzania?Kwa mtazamo wangu hasi ni kuwa huna mchango wowote kwa wasomi wachanga wa kitanganyika kutokana na mtazamo wako finyu kuwa kwa kusitishwa kwa huduma ya mikopo toka bodi basi matatizo ya wanafunzi yataisha.

Pia unavyosema kuwa serikali irudie utaratibu iliokuwa nao wa kuwalipia wale tu walio faulu vizuri,kwa mtazamo wangu hasi HAKUNA ALIYE FAULU VIZURI WALA VIBAYA BALI KILA MMOJA AMEFAULU KWA NAFASI NA UZURI WAKE.

Bodi imeanzishwa ili kuwasaidia wote hawa kwa ufauru na nafasi zao.Kuhusu suala la kusubmit requirements kwa wakati hapo ndugu umechemka.Kuna watu walifanya hivyo kwa wakati lakini mpaka sasa hawajapokea fedha hizo na ushahidi tunao.Hebu jipange upya na kuondoa huo unaoitwa mtazamo wa kisiasa ulionao bila kujua.
 
King of Kings karibia nitakushusha cheo hicho hadi Queen of Queens kwani unakurupuka tu kutoa maoni yako bila kuwa na ushahidi wa kutosha kuhusiana na kile unachokisema.Kwa mtazamo wa haraka ni kuwa unazungumzia masuala ya kisiasa zaidi.

Unaposema kuwa serikali inaangalia zaidi chuo kikuu cha Dodoma kuliko kwingine unawachukulia wananchuo wote wa chuo hicho kama sehemu ya siasa za chama tawala.Hapo unakosea sana.Ulichotakiwa kukifanyia kazi ni,"SERIKALI IMEWEKEZA ZAIDI KATIKA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA NA KUKIVALISHA VAZI LA MTAZAMO WA KISIASA KULIKO KUWEKEZA ZAIDI KAKTIKA CHUO HICHO KWA MAANA YA WANAFUZI".

Hebu ninyi mnaoonekana huko nje kama wasomi halisi wa nchi hii waamsheni wale ambao bado wamelala na kukichukulia chuo hicho kisiasa zaidi kwani ninauhakika unalijua hili,"HAKUNA MWANACHUO KATIKA CHUO HICHO LIYEDAHILIWA KWA KUONESHA KADI YAKE YA UANACHAMA WA CHAMA FULANI CHA KISIASA WALA ALIYE KATALIWA KUJIUNGA NA CHUO HICHO KWA KUWA ALITOKA CHAMA FULANI CHA KISIASA".

Kama wanachuo wa chuo hicho wangekuwa wa kisiasa zaidi usingesikia migomo ambayo ninauhakika umeishaisikia mpaka sasa kwani wasingeweza kukigomea chama chao na uongozi uliowaweka katika chuo hicho.Pia kumbuka kuwa fedha za ujenzi wa chuo hicho hazitoki bodi ya mkopo bali BODI INAENDESHWA KISIASA ZAIDI.

Chuo hicho Bw King kimejaza watoto wa wakulima kuliko fikra za tuliowengi zinapofikia kikomo.
 
nilichosema kimekuwa kama ilivyo. maandamano yameanzia kwa slab coet. wahandisi wakiongozwa wabunge wamezunguka coet nzima na kutoka kwenda revo then utawala na wakaenda jumba la mwamvuli au nkurumal hall then daruso office. sasa bonge lanyomi liko linapeana modariti rev square.
 
Nilishajua kuwa hili litatokea
lakini mbona udsm inaonekana mnashida sana tena zaidi ya udom na mlikuwa mmelidhika na huu udhalimu. Ata mgomo wenu ausikiki kwenye vyombo vya habari inaonekana mmfanya mgomo baridi. Kama vp tumieni ata ukongwe wenu make haki aiji mpaka kwa ncha ya upanga ndg zangu.
 
ndiyo maana wamechongesha noti mpya ili mpewe hiyo mikopo. nchi imekuwa kama somalia, noti zote za dola zila serial number zinazofanana. Serial number za noti za zamani na mpya zote zitakuwa katika mzunguko.
 
Ndugu yangu mkatanyasi, siasa ipo kila mahali na hakuna namna utakayoniambia unaishi bila siasa, labda useme itikadi flani ya siasa ambapo vyama ndipo vinaingia (Tafuta maana ya siasa).

Soma vyema mchango wangu nimesema pamoja na matatizo ya bodi pia wanafunzi wanamatatizo yao kama nlivyoainisha, kwamfano kutoa mkopo kwa wasiostahili, kutokua na utaalamu mahususi wa kutambua uwezo wa mtu n.k. bodi imeundwa kuwasaidia masikini alafu hao masikini mbona hawajapewa mpaka sasa?

Naendelea kusisitiza kuwa kama bodi ni bora ifutwe au ihimize TCU na serikali kwa ujumla kudahili wanafunzi wachache inaoweza kuwahudumia kwa kila namna yaani field attachment allowance, transport, meal and accommodation allowance, stationary allowance, makazi na madarasa pamoja na walimu.

Kinachofanyika sasa hivi ni kujifurahisha kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi vyuoni na output kubwa badala ya ubora wa elimu waliyopata. unasema kuwa kila mtu amefaulu kwa nafasi yake sijui unamaaninisha nini? Kwanini kuwe na mitihani sasa?
 
Ngugu zangu vita ni all fronts, wkt unapambana na serikali pambana pia na maisha kutafuta pesa. Aim high to send your son/daughter in USA/UK/ZA Universities. When you aim at the Sun you will fall on the Moon, I believe!

pale UDSM lambalamba nyingi, uondozi wa wanfunzi na uongozi wa chuo kila moja anafanya lake kwa faida yake anayo ijua yeye.
najua na nimeexperince 1999,2001.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom