Kesho Ubungo mataa saa tatu asubuhi

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Maandamano ya amani kesho utune clouds, bbc,RFA na Aljazeera watakuwepo. Haijawahi tokea kwenye historia ya hii nchi mwanzo wa mwisho
 
yanahusu nini?yataishia wapi?jee polisi wataruhusu? najua waislam hawaitaji ruhusa,hawaogopi kufa wala mabomu
 
mhhhh vip lakini wazee wa interejensia wametoa kibali.kama hawajatoa sema mapema watu tujiandae.liwalo na liwe
 
Habari za kichochezi hizi. Kuandamana kwa kipindi hiki NO hata yangekuwa maandamano ya kidini hakuna wa kuyaruhusu na hakuna mwenye kupenda mema atakayeunga mkono
 
Amani ya nini? Ni Kuomba amani au kuenzi au nini? Wanaohusika ni nani?
 
Maandamano ya amani kesho utune clouds, bbc,RFA na Aljazeera watakuwepo. Haijawahi tokea kwenye historia ya hii nchi mwanzo wa mwisho

Maandamano ya nini..? yana lengo gani?? Ubungo mataa saa ngapi?? kuelekea wapi??? watu mnakurupuka hata kuchamba hamchambi mnatuandikia *****..ningekua mod mngejuta kuzaliwa..mppssxxyy
 
Maandamano ya nini..? yana lengo gani?? Ubungo mataa saa ngapi?? kuelekea wapi??? watu mnakurupuka hata kuchamba hamchambi mnatuandikia *****..ningekua mod mngejuta kuzaliwa..mppssxxyy
he he he anders batta mzima wewe?? mbona jazba mdogo wangu? mom hajambo?
 
Last edited by a moderator:
Hata kama utatufafanulia vizuri, inabidi tupate taarifa ya kiitelijensia kuwa Al Shabaab na Janjaweed hawatakuwepo.
 
mzee wa intelijensia feki ameyakubali ???? ni maandamano ya UAMSHO ??
 
mambo yakiendelea hivi, sisi wengine tutaihama jamii forums! thread zisizokua na mashiko zinaandikwa kama......... wote tutaonekana wajinga. lengo la jamii forums nadhani ni kutufanya tutumie ubongo kuchambua matatizo yanayotukabili hapa nchini na tufanyeje kuyatatua...
 
Back
Top Bottom