Kesho tarehe 21/08/2013, kamanda mbowe na timu yake watakua tukuyu-mbeya ktk viwanja vya tandale.

Tky

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
439
140
Salam wanajamv, wakaz wa Tukuyu mjni wilaya ya Rungwe munaarifiwa kuwa kesho Tarehe 21/08/2013. Kutakua na mkutano mkubwa wa CHAMA CHA DEMOKRASIA CHADEMA, Ktk viwanja vya Tandale-Tukuyu mjini, kuanzia saa nane mchana, nitajitahidi kuwapa updates na picha.
 
Nadhani bado mawasiliano hayajawa vizuri: kesho muda huo atakuwa Sumbawanga Mjini: chopa inafanyiwa matengenezo madogo PALE KIGOMA kwa sasa. kwa hiyo ratiba imeingiliana kiasi. Jaribu kupata habari ya Uhakika zaidi.
 
Back
Top Bottom