kesho ni zamu ya CUF kuingia bunge la EA

abdulmajid

Member
Apr 15, 2012
11
1
kesho ni kesho bunge la tz linapiga kura za kuchagua wawakilishi wa bunge la east africa kwa hali inavyoendelea wawakilishi kupitia vyama vya upinzani chama cha CUF kupitia mgombea wake wakili mashuhuri ndg Twaha Taslima ndicho kinapewa nafasi kubwa ya kushinda,sababu zinazopelekea kushinda kwanza mvuto na uelewa wa mambo katika maswala ya east africa kuliko wagombea wengine hasa wachadema ndg komu ambae kwanza ajulikani pili historia yake aifanyi wabunge kuvutiwa nae.
 
Back
Top Bottom