Kesho ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wangu, nimfanyie suprise gani?

duh, mkuu kwanza naomba unisamehe kwa haya takayoongea maana hutoyapenda; wewe ni mtu mkubwa hata kama sio ila i hope ni18+ . kuna usemi usemao serikali ya kwanza ni kichwa chako, jiamini na fanya kitu ambacho kinatoka ndani ya nafsi yako, maana hicho ndicho umekiamua wewe. suala la mpenzi ni mambo ya chumbani sa iweje uyatoe sebuleni na hadi kwenye dunia nzima! wewe ndo wamjua mpenzi wako yuko vipi, vitu gani havipendi na vitu gani anavipenda, kwa hali hiyo ni wazi unajua nini kitapendezesha birthday yake. na pia wewe wajua mpenzi wako ana vitu gani na hana vitu gani ambapo unaweza chagua kimojawapo ukamnunulia. tuache kujidhalilisha hivi uanaume wetu uko wapi siku hizi ! yaani kichwa chako kinashindwa kumudu jambo dogo tu la zawadi ya birthday ya mpenzi wako je akipata mimba utaweza kumudu jambo hilo !? je ukiwa baba utaweza hata kukemea tabia mbaya za watoto wako!? je ukiwa kama mwanaune unaweza kukabidhiwa ofisi ukaiongoza wakati mabosi wapo safari. hebu tuwe kama wanaume basi, maana ya mwanaume ni kuweza kumudu mambo mazito sio kajambo ambako hata mtoto wa shule ya msingi angejua zawadi gani ya kumpa kademu kake.
 
CHUKUA KARATASI KUBWA AU YA SIZE,
IANDIKE UJUMBE MZURI KWA KUTUMIA MARKERPEN ya rangi yoyote anayoipenda (mfano I LOVE YOU MY ANGEL,I WISH YOU LONG AND SUCCSESSFUL LIFE)

Namaanisha andika ujumbe kwa maandishi makubwa yanayoonekana kwa urahisi zaidi,

kisha Wachukue marafiki zako kadhaa au hata watu wako wa karibu, ni vizuri zaidi ukawachukua wale anaowajua, na kisha waeleze kuhusu dhumuni lako la kutaka kumsuprize mpenzi wako,

MKISHAKUWA TAYARI SASA

CHUKUA SIMU AU CAMERA JIRECORD VIDEO UKIWA UMELISHIKA LILE BANGO UKIWA NA MARAFIKI ZAKO MKIFURAHI HUKU MKIMWIMBIA WIMBO MZURI WA HAPPY BIRTHDAY, hapo unaweza ukajirecord huku umevaa vile vijikofia vya Birthday,,,..

KISHA UKISHAKAMILISHA MTUMIE HIYO VIDEO
nadhani akiiona atajua jinsi unamjali na umeamua kufurahia siku yake ya muhimu pamoja naye.

ALL THE BEST MKUU
Ahsante...ijumaa yangu inaisha freshhhhhhhhhhh. Yani watu kama nyie, basi tu teh
 
Mawazo ya kijinga badala ya kufikiria mambo ya maana basi ukiambiwa kamwingirie kinyume cha maumbile utafurahi
 
Mnunulie kitu anachopenda sanaaa ili akikiona awe anakukumbuka
 
Mnunulie gari aina ya i.s.t km mfuko unaruhusu, utamuepusha na lift za wenye gari ambazo mara nyingi humpelekea kugegedwa
 
mama yake ni mwanaume?
Ushamuita MAMA, mwanamke linakujaje?? Hivi unafikiri wanaume tunawachukulia mama zetu ni "wanawake" ?? Sisi tunaona mama zetu ni "miungu us kidunia" in ujinga Sana kumuweka mama mzazi ktk group la "wanawake", mbaya zaidi wa siku hizi.
 
Duu Great thinker wanapogeuka low thinker....ivi huwa mnajiangaliaa usoni mnapoandikaga uchurooo?? Mpaka huruma Kama mmelazimishwa kuchangiaaa
 
Back
Top Bottom