Kesho ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wangu, nimfanyie suprise gani?

Toa hela tu
Nakuhakikishia mabinti wa Dar Hela ndo kila kitu!
Utaitwa majina yote unayotaka ukitoa hela
Nasisitinza tumia tigopesa au M-Pesa kuhuisha hayo mapenzi!
 
Usim-wish wala kumpigia simu siku nzima na usimtafute akipiga usipokee
 
Bwana yesu asifiwe watanganyika wenzangu?

Naomba kuambiwa nini cha kufanya, niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja{hawa mabinti wa dot com}kesho ni siku yake ya kuzaliwa, tunaishi mikoa miwili tofauti, ye yuko Dar na me niko Arusha, Sasa nataka kumfanyia suprise kwenye hiyo birthday yake.

Je naweza kumfanyia nini ambacho kitamfurahisha ili walau atambue kuwa ingawa tuko mbali but kwa kiasi flani namjali na kumthamini?
Usipoteze hela yako bure kwa huyo cha wote. Siku zoote akae anasubiri zawadi yako kwani mwanaume upo pekeyako. Watu tunatoa huduma kilasiku wewe mwaka hadi mwaka.
 
CHUKUA KARATASI KUBWA AU YA SIZE,
IANDIKE UJUMBE MZURI KWA KUTUMIA MARKERPEN ya rangi yoyote anayoipenda (mfano I LOVE YOU MY ANGEL,I WISH YOU LONG AND SUCCSESSFUL LIFE)

Namaanisha andika ujumbe kwa maandishi makubwa yanayoonekana kwa urahisi zaidi,

kisha Wachukue marafiki zako kadhaa au hata watu wako wa karibu, ni vizuri zaidi ukawachukua wale anaowajua, na kisha waeleze kuhusu dhumuni lako la kutaka kumsuprize mpenzi wako,

MKISHAKUWA TAYARI SASA

CHUKUA SIMU AU CAMERA JIRECORD VIDEO UKIWA UMELISHIKA LILE BANGO UKIWA NA MARAFIKI ZAKO MKIFURAHI HUKU MKIMWIMBIA WIMBO MZURI WA HAPPY BIRTHDAY, hapo unaweza ukajirecord huku umevaa vile vijikofia vya Birthday,,,..

KISHA UKISHAKAMILISHA MTUMIE HIYO VIDEO
nadhani akiiona atajua jinsi unamjali na umeamua kufurahia siku yake ya muhimu pamoja naye.

ALL THE BEST MKUU
 
Mkuu ukituma pesa atatumbua na mchepuko wake wewe unajua nini anapenda hata kama chocolate wewe itume tu kwa njia ya basi mwambie akaipokee akiipokea mtakie wishes nyingi nyingi katika siku yake hii muhimu ya kuja kwake duniani.
Mawili utagundua
1~anakupenda kweli.
2~anakuheshimu
Msalimie sana shemeji
 
Bwana yesu asifiwe watanganyika wenzangu?

Naomba kuambiwa nini cha kufanya, niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja{hawa mabinti wa dot com}kesho ni siku yake ya kuzaliwa, tunaishi mikoa miwili tofauti, ye yuko Dar na me niko Arusha, Sasa nataka kumfanyia suprise kwenye hiyo birthday yake.

Je naweza kumfanyia nini ambacho kitamfurahisha ili walau atambue kuwa ingawa tuko mbali but kwa kiasi flani namjali na kumthamini?
"Mnunulie Nyumba.."
 
Wanaume kama ninyi ni nadra sana! shoga ajivunie kuwa nawewe.....kwa kuwa mko mbali mtumie pesa tu angelikua karibu ungempatia kitu ambacho akikiona atakukumbuka.
Umeona eeh! Kweli wa hivi wachache mwenzangu
 
CHUKUA KARATASI KUBWA AU YA SIZE,
IANDIKE UJUMBE MZURI KWA KUTUMIA MARKERPEN ya rangi yoyote anayoipenda (mfano I LOVE YOU MY ANGEL,I WISH YOU LONG AND SUCCSESSFUL LIFE)

Namaanisha andika ujumbe kwa maandishi makubwa yanayoonekana kwa urahisi zaidi,

kisha Wachukue marafiki zako kadhaa au hata watu wako wa karibu, ni vizuri zaidi ukawachukua wale anaowajua, na kisha waeleze kuhusu dhumuni lako la kutaka kumsuprize mpenzi wako,

MKISHAKUWA TAYARI SASA

CHUKUA SIMU AU CAMERA JIRECORD VIDEO UKIWA UMELISHIKA LILE BANGO UKIWA NA MARAFIKI ZAKO MKIFURAHI HUKU MKIMWIMBIA WIMBO MZURI WA HAPPY BIRTHDAY, hapo unaweza ukajirecord huku umevaa vile vijikofia vya Birthday,,,..

KISHA UKISHAKAMILISHA MTUMIE HIYO VIDEO
nadhani akiiona atajua jinsi unamjali na umeamua kufurahia siku yake ya muhimu pamoja naye.

ALL THE BEST MKUU
Nimeipenda
 
Back
Top Bottom