Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

nimeishi naye nyumba moja miaka 2ka hivo ni ke wangu kisheria na mahari nusu nimelipa
 
Kama uhakika unao sasa unaenda kule kufanya nini? achana nae tu. Najua inauma na unataka umfumanie ili na yeye ajiskie vibaya but trust me haita kusaidia.
we achana nae tu, kama utataka mwambie na sababu, akibisha asibishe we achana nae tu, she doesn't deserve you.
 
BATA HATA KWA WATU WENGI LAZIMA AHARISHE TU.......Kifulambute

hahahah nambie Dreamliner....hili sio jukwaa la midundiko bwana we're great thinkers who dare to talk and think beyond reasonable doubt sasa sijui huyu kijana anatumia masaburi gani kufikiria.
 
hahahah nambie Dreamliner....hili sio jukwaa la midundiko bwana we're great thinkers who dare to talk and think beyond reasonable doubt sasa sijui huyu kijana anatumia masaburi gani kufikiria.

Yeye mwenyewe nahisi hajielewi..
 
dogooo...kua uyaonae.. KAMA ILIVYO NA INAVYOFAHAMIKA KUWA MPENZI WA MAMA/BABAKO NI BABA/MAMAKO UTAKE USITAKE NA HAIJALISHI UMRI WA MPENZI HUYO HATA AKIWA MDOGO KAMA MWANAO......viyo hivyo.....HAWARA HAFUMANIWI MKE/MUME HALALI TUU NDIYE ANAYEFUMANIWA
 
yaani huyu jamaa na akili zake timamu anataka kufumania mwanamke aiye mkewe yaani
 
Ugomvi wa nini miaka hii? watu wanapigana kutafuta shilingi wee unataka upiganie mwanamke? tena demu? tena sio ajabu ukute nika sista-duu-pori, yanini malumbano Mpwa? mbona wako wengi sana sana, hebu achana nae mtapeana UKIMWI bure....
 
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.
Unaweza kumfumania mkewe tu sio 'MANZI' wasikusikie watu. Kakushinda achana nae.
 
tumia akili kwanza kabla ya nguvu unaweza kujikuta wewe ndo mwizi na unaenda uko unaambulia kipigo
 
The only:
Kwa taarifa yako siendi tena ile guest, nampeleka mpenzi wako kwingine tutazima tu simu, na kukuacha na maumivu wakati sisi tunabanjuka! We tafuta mwingine bana niachie huyu kasema umemshindwa huna nyimbo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom