Kesho Mtanzania watatokaje?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Boss wao ndo ivo kaondoka kwenye uongozi wa CCM huku akirusha madongo kibao. Mtanzania walikuwa watu wa kuibeba sana CCM. Je wataungana na Boss wao kuanza kuiponda? Je hili ni pigo kwa CCM? Je CCM walitathmini hili kabla wa kumwambia RA ajivue gamba? Na je, ukiacha Uhuru na Habari Leo, CCM itabebwa tena na gazeti gani, hasa ukizingatia Boss wa Jamba Leo nae anaonekana kuwa karibu na Rostam? Haya maswali majibu yake ni very interesting.
 
Mi naona hii ni "racket" nyingine ya CCM ya kujiweka sawa. However, they must have missed the bus. Wanajivua gamba wakati bado wana sumu?
 
Nitashangaa sana hata kama JK atajiuzulu halafu watz wakafikiri ccm imejisafisha. Tatizo la ccm ni mfumo waliokwisha jenga kwa muda wa miaka mingi, kwa sasa tunahitaji mapinduzi makubwa ya kimfumo na kwa hili chama mbadala ni muhimu
 
Back
Top Bottom