kesho msikose kuingia TCU.GO.TZ

Kipapuro

Member
Aug 12, 2012
32
14
:A S cry:Kwa mujibu wa TCU kesho they gona publish names of students who were not selected during that so called first round of selection ......They are going to lounch:flypig: so called second round of APPLICATION forthose who weere notb selectet.OOOOO my ALLAH sijui nitakuemoooo maana mpaka sasa sija jua wapi wamenitupaaaaaaa fake TCU:alien:
 
mmmmmm TUTEGEMEEE JIONI OFCOURSE maana second round application is readyopen friend..au mda wowote from now
:A S-baby:
 
kwa watu ambao hawaja chaguliwa kupitia first round wamesha julishwa kupitia profile zao so kama wewe hauja julishwa it means kwamba you are already selected thru first round....
 
ila sehem za kujaza walio miss selections zipo wazi...ni hayo majina tu then wakujaza wajaze....
 
Duuh mbona mwaka huu watu wanapresha sana na tcu? kila nikiingia humu jamvini ni story za tcu tu, tulizeni presha vijana mambo yatakaa sawa tu. pole sana ndungu zangu
 
Back
Top Bottom