Kesho masikio na macho yote kwa Waziri Mkubwa

jmnamba

Senior Member
Mar 31, 2012
156
23
Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusu tetesi za mawaziri kadhaa kujiuzuru nyadhfa zao Mh. Waziri Mkubwa aliahidi suala hili litajulikana j3. Hivyo mpaka sasa yawezekana watu wamesika ndivyo sivyo na yeye ndio ataetoa tamko rasmi kama ni kweli au la!
Mungu ibariki Tanzania.
 
Nji hii achana nayo kbsa.unaweza kushangaa ataibuka na jambo ambalo ni kinyume kabisa na unavyodhani.
 
Asije lia kesho kutafuta sympath za wa-tz. awajibike tu na tena anastaili kufikishwa Mahakaman
 
Mbona kuna taarifa kwamba JK amekataa kujiuzulu kwao. Kutokana na wao kuandika barua ya kujirekebisha na kwamba wamekiri makosa hivyo wameomba muda zaidi.
 
hakuna kitakacho semwa cha maana zaidi ya kuambiwa tuvute subira wachunguzwe.
wachunguzwe nini wkt ukweli upo wazi hizo ndio tabia za wanasiasa.
namshauri kesho zito kabla waziri mkuu hajatoa hotuba ya kuliahirisha bunge awe ameshatoa notice kwa spika
kuhusu hoja yake la sivo pinda akishamaliza kuongea hatapewa nafasi tena kwa kisingizio cha muda
 
Pumbaaaaa!!! nimesikia PM hatakuwa na jipyaaa
 
Back
Top Bottom