Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
sijui umejuaje ndichonilichotaka kumwambia..anyway hata yule wa uganda aliwamaliza hivi hivi wakajazana kanisani akafunga milango likachomwa moto kumbe katokea mlango wa nyumakitenda cha kutaja mizimu ituongoze umenikata siji
mwenye macho naa aone masikio na asikie kuna familia kila mwezi fulani lazima wachinje ngombe wakishindwa wanatafuta damu so msipokuwa makini mtakuwa kafara za watu hapo unamwona na corrola ya kizamani wakichpwa watu makofi wanaumia damu zinatoka keshokutwa unamkuta na vog..na wala akuulizi we uliwekwa ndani unaendeleaje