Kesho jumatano saa 3 asubuhi maandamano kuanzia kituo cha haki ya sheria tafadhali mwambie mwenzako

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Kesho maandamano kuanza saa tatu asubuhi mbele ya kituo cha sheria na haki za binadamu kilichopo kijitonyama, nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii. tafadhali kabla maafa ya hayajakuwa makubwa tuhudhurie bila kukosa kwa mapenzi mema ya nchi yetu

Allah awaongoze, Mungu awaongoze, Mizimu iwaongoze, Miungu iwaongoze. Uzalendo uwaongoze, upendo Uwaongoze, Budha awaongoze, Jah Awaongoze.....

Beba bango lenye ujumbe wako.
 
Huna lakufanya? Nakuuliza huna la kufanya, usicheze za hisia za watu hayo maanadamano katangaza nani?
 
Hatimaye aliyoyataka kikwete yametimia, maandamano kuanza kesho kupinga kunyanyaswa wagonjwa, madaktari, wananchi na mabeberu wasio na chembe ya utu wanaoitwa wabunge.

source LRHC
 
Ivi bado mtu unakaa unatype maandamano ya nn?...wakat post zako za nyuma unadai watu hawaingiii barabarani na watz ni waoga!!!!nasema iviii...hamna haja ya kutafuta muanzishaj msijesema CDM imeitisha...sambaza vimemo kesho tuingie barabarani...mwanzo mgumu watz mmezoe amani yenu ya woga..nna hasira ngoja nchore bango...nimempoteza ant yangu leo
 
Apandaye upepo, huvuna dhoruba. Hayo wamejitakia kwa kujifanya wababe kutotaka majadiliano na madokta. Maisha ni magumu kwa wafanyakazi wengine pia, hivyo nasi tutakapoanza harakati msijesingizia chadema au nini bali ni mkate hautoshi. Please walimu noeni zana tulianzishe nchi nzima. CWT haina makali inashindwa kujifunza hata Kenya.
 
Kesho maandamano kuanza saa tatu asubuhi mbele ya kituo cha sheria na haki za binadamu kilichopo kijitonyama, nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii. tafadhali kabla maafa ya hayajakuwa makubwa tuhudhurie bila kukosa kwa mapenzi mema ya nchi yetu

Allah awaongoze, Mungu awaongoze, Mizimu iwaongoze, Miungu iwaongoze. Uzalendo uwaongoze, upendo Uwaongoze, Budha awaongoze, Jah Awaongoze.....

Beba bango lenye ujumbe wako.

Inaonesha huna kazi za kufanya.

Wewe si ndio ulileta habari kuwa kuna maandamano sijui watu wamekusanyika Mlimani City, yameishia wapi?
 
Bado kuna tishio la mashambulizi ya Al Shabab kwa hiyo si vizuri kufanya maandamano kwa usalama wenu
 
wewe ndiye msemaji wa kituo hicho? Ni wapi umetoa taarifa hizo? Huyo mtu aliyekupa habari hii ana madaraka yapi kwenye kituo hicho?
 
Back
Top Bottom