Kesho jumamosi tundu lisu na halima mdee ndani ya moro

May 1, 2012
95
96
CDM Kinatarajia kuwa na MKUTANO KICHANGANI MOROGORO Mjini mchana.MAKAMANDA wote wa SUA,MZUMBE,MUSLIM UNIVERSITY,ARDI na JORDAN UNIVERSITY Msikose.Pia wananchi kwa ujumla shime tusiangushane.Njoo tujipange saa ya Ukombozi ni sasa.
 
Peoples power, Hii ni saa ya ukombozi nasikia mfalme atakuwepo.
 
Peoples power, Hii ni saa ya ukombozi nasikia mfalme atakuwepo.

sorry mfaume yupi? maana kibongo wasan wapo wawili wanaotumia hilo jina mfaume yusufu na afande sele, hope utakuwa unamuongelea sele, huyu jamaa bado ni dumila kuwili jion hii clous fm anasema atajiunga CUF o CHADEMA na kutanga nia yake ya kugombea ubunge moro town. bado sitaki nataka.
 
Muda wa mkutano ni kuanzia saa sita mchana kwa sasa kuna gari la matangazo linapita sehemu mbalimbali likitangaza.makamanda njooni na kombati zenu tumechoka kuona nchi inaliwa na wajanja.
 
Back
Top Bottom