Kesho asubuhi ukipokea simu ya JK kukuomba msaada huu utamsaidiaje?

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Eti wewe ukiamka kesho asubuhi mara unaona namba ngeni juu ya screen ya simu yako,ukiipokea unakuta ni mh JK anaomba msaada wako juu ya kumpa majina 10 ya wana ccm safi ili ayapeleke NEC kwa ajiri ya kumpata mgombea 1 wa nafasi ya urais uchaguzi mkuu ujao kupitia ccm wewe utampa majina gani?
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
 
Wote wameoza na kuota mizizi ya ufisadi hawafai tena kuongoza hii nchi. Waachie upinzani watung'olee hiyo mizizi michafu waliyoiotesha ili nchi yetu iweze kupata maendeleo.
 
Sawa wameoza,na nna imani kama ukipokea simu ya mbwana mkubwa huyo huwezi kumwambia nyote mmeoza!
 
nitamwambia mzee hakuna mbuge hata moja anayaefaa kumpa uwaziri mkuu....
ni vizuri ukajiuzulu uwape wananchi furusa ya kuchangua watu makini zaidi na wazalendo na si wanafiki na wenye uchu wa madaraka kama january makamba ....
 
mie ntampa majina haya!
1.Salim Ahamed Salim!
2.Masumbuko Lamwai
3.Bibi Asha Rose Migiro
4.Stella Manyanya
5.Mh Mwakyembe
6.Mh Mwandosya
7.Agrey Mwanri
8.Abas Mtemvu
9.Makongoro Nyerere
10.Mh Nimrod Nkono.
Rais wa Tz kwa upande wa ccm atoke hapa!
 
Eti wewe ukiamka kesho asubuhi mara unaona namba ngeni juu ya screen ya simu yako,ukiipokea unakuta ni mh JK anaomba msaada wako juu ya kumpa majina 10 ya wana ccm safi ili ayapeleke NEC kwa ajiri ya kumpata mgombea 1 wa nafasi ya urais uchaguzi mkuu ujao kupitia ccm wewe utampa majina gani?
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.

??????????????????hamnaga watu wasafi ccm ni walewale waliokwisha kuzoea kunyonga.
 
Eti wewe ukiamka kesho asubuhi mara unaona namba ngeni juu ya screen ya simu yako,ukiipokea unakuta ni mh JK anaomba msaada wako juu ya kumpa majina 10 ya wana ccm safi ili ayapeleke NEC kwa ajiri ya kumpata mgombea 1 wa nafasi ya urais uchaguzi mkuu ujao kupitia ccm wewe utampa majina gani?
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.

Lowasa
Rostam
Chenge
Karamagi
Msabaha
Mramba
Ngereja
Makinda
Sophia Simba
Mzee wa SMG
 
Back
Top Bottom