Kero za muungano

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
60
Muungano wa Tanzania, Haukuja kwa kutania, Viongozi wake walidhamiria, kuimarisha udugu wa asilia;
Hata uamsho wakilia, na hasan nasor moyo kuwasaidia.

BLW pia likiwasaidia, hapatakua na maridhia; Juliasi Mwalimu alituambia, na Sheikh Karume alituusia;
Tumeungana kwa nzuri nia, kutengana kutaleta udhia.

Tuuenzi Muungano wetu, Bara na Visiwani PIA.

MIMI nasema kuna KERO ZA MUUNGANO

KERO hizi za MUUNGANO zinahusu ZAnzibar na Zinahusu TaNganyika.


TUZIFANYIE KAZI KERO HIZO

SIO KUVUNJA MUUNGANO
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom