kero yangu kwa baadhi ya dada zangu

Kujichubua wajichubue wengine kukereka mkereke nyie. Waja bana!

Ukizingatia wale wafanyao mchubuo ni watu wazima na akili zao timamu kichwani hakuna aliyewalazimisha kujichubua...wanajua side effects za kufanya hivyo ambazo ni pamoja na kutoshoneka ngozi wakipata ajali mbaya..lakini bado wamo tu.Dawa ni kuwaacha kama walivyo,wao wamechagua life style ya kuonekana waarabu zaidi..na sie wengine tumeamua kuchagua maisha ya kuwa waafrika zaidi. Na maisha yanaendelea..ili mradi hajaja kukuomba pesa ya mkorogo...Mpango mzima!!!
 
Box linalipa baki nae huyohuyo usipige teke fuko la pesa,.......mimi ni mjanja mjanja tu wa mjini tunaishi kwa longolongo.
Loh ..... Nahisi hii umeiandika kwa wino kabisa masikini. Poa ndugu yangu, ngoja niendelee kujigongagonga kwa wabeba mabox kama ulivyoiweka!
 
Hujamtendea haki Ben Kinyaiya! Ukimuona na kaptula, huwezi amini! Miguu myeusiii, sijui inagoma kuchubuka!
Ray na Kanumba ni wazee wa mkorogo. nashangaa sana janaume zima linashindwa kumuangalia mtu kama Akon anavyoshine kwa rangi yake halisi!!
 
Hah shem naona unataka kunisababishia upungufu wa mbavu mwilini nimechekaje?

Money stuna hahah lako ni la kilo ngapi?

Tunachakachuua sredi mjue
 
Hizi bei ni pamoja na vat? Nielekeze nijigeuze mzungu manake nshapata zungu la kunipeleka vekesheni mwenzio
Unakuta mwanamme anaudharaulisha uanamme wake kwa tsh 2134

ana mkorogo karolait 552, ana dred za 250, ana mihereni, licheni kubwa kama nyororo, bracelet kubwa, na lipete kama embe vyooote alinunua kwa mafungu 400
 
Akuuu! Wabeba boksi mikono migumu afu hela zenyewe unahesabia mfukoni! Nimepata kibabu cha kizungu, salio unlimited. Mgawie kongosho mateka anamzingua.
Nina wabeba maboksi kaa wawili hivi kama unatafuta mbeba maboksi we holla tu...sawa?
 
Back
Top Bottom