Kero ya DAR LIVE KIPINDI HIKI...

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,330
323
Ni ukumbi mzuri,na ni fahari ya wakazi waliopo maeneo ya pembezoni mwa Jiji hili.. Lakini Duh!! Usiombe BOZA limwagike, Mtakomaje.....
 

Attachments

  • shooyadiamondDarLive4.jpg
    shooyadiamondDarLive4.jpg
    31.2 KB · Views: 859
Iyo picha nilizani ni staili ya kushangilia kumbe wanajikinga na mvua!
 
Kero nyingine ma mc longo longo nyingi sana na wanachosha sana yaani inaonekana hawana working day schedule
 
Duh nilijua ni aina mpya ya ushangiliaji aise kumbe ni kujikinga na mvua
dah sasa hiyo ni starehe au balaa
 
Alafu katika promo wanasema .. DAR LIVE NDIO UKUMBI BORA NA WA KISASA KWA BURUDANI KWA DAR ES SALAAM.....

Ukumbi bora na watu kumwagikiwa na mvua hivyo aise
Hapo ni full kero wala hakuna burudani
Inagine wadada na nywele zao na make up zao
Na hapo imagine uko na watu wako wa maana unamwagikiw ana mvua hivyo
 
Hahah!haha! Nikajua jamaa wanashangalia show dah! Kumbe kero tupu wanavyousifia kumbe tofauti kabisa!! Riz vp ongea na mshua akupe vijichenji uweke hata Turubai2!!!
 
Back
Top Bottom