Kero: Utupaji hovyo wa nyembe mitaani

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Hili suala limekuwa kama jadi ya Watanzania wengi sana hasa mijini na majiji kwa watu kutumia nyembe kwa matumizi yao binafsi na kuzitupa hovyo barabarani na wanaoathirika ni watoto wadogo ambao wamekuwa wanaokota. Wanaofanya hivi waache ni dhambi kubwa sana
 
Hii ni kero kubwa sana sijui kwa nini Binadamu na akili timamu anshindwa kujua utupaji hovyo wa nyembe ni hazard kwa watoto wetu?
 
Hii ni kero kubwa sana sijui kwa nini Binadamu na akili timamu anshindwa kujua utupaji hovyo wa nyembe ni hazard kwa watoto wetu?
FL1, nilikutana na mtoto mmoja wa darasa la pili amejikata na kiwembe baada ya kumdadisi aksema aliokota barabarani akawa anachonga penseli yake. Jarbu kuona suala kama hili jamani
 
Back
Top Bottom