Kero Ubungo bus teminal

Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
812
468
Niko kituo cha mabasi yaendayo mikoani UBUNGO kuanzia saa 12:00 mpaka saa hii hatujaondoka inadaiwa kuna ukaguzi wa leseni ni mateso wana JF nijo kwenye najimunisa naenda singida
 
Poleni sana. Nadhani ni jambo jema kwa askari kuhakikisha madereva ni wa uhakika. Otherwise hamtafika Singida salama. Better late than never!
 
Poleni wasafiri. Wanakusanya hela za kununulia mabomu ya machozi, si unajua hali inazidi kuwa tight coz we are sitting on a timed bomb.
 
Niko kituo cha mabasi yaendayo mikoani UBUNGO kuanzia saa 12:00 mpaka saa hii hatujaondoka inadaiwa kuna ukaguzi wa leseni ni mateso wana JF nijo kwenye najimunisa naenda singida

Nadhani tuwaache wahakukishe usalama wenu ili muwe na uhakika wa kufika salama; KAWIA UFIKE MKUU
 
Pole sana ndugu yangu ukifika SINGIDA waambie yaliyokutokea halafu ni sababu ya CCM wasimchague tena MZINZI MWIGULU MCHEMBA na yule MHINNDI mwizi.
 
Dah! Poleni sana mkuu ni jambo jema lakini kwa usalama wetu na mi niko safari naenda singida aisee!
 
Nadhani tuwaache wahakukishe usalama wenu ili muwe na uhakika wa kufika salama; KAWIA UFIKE MKUU

Wangekuwa na heshima kwa binadam, wangekagua kabla abiria hawajaingia kwenye magari, (siku moja kabla ya safari) magari ambayo yangekidhi viwango wanavyovitaka yangeruhusiwa kuanza safari siku husika. Kwa kuwa binadamu wa tanzania hathaminiwi utu wake, ndio maana wanapigishwa miayo pale terminal. Poleni wasafiri, mnaokwenda iramba magharibi pelekeni m4c jimbo lipate mbunge sahihi muda ukifika.
 
Ndio tunajikongoja kwenda geti la kutoke lakini bado hatujakaguliwa
 
Wangekuwa na heshima kwa binadam, wangekagua kabla abiria hawajaingia kwenye magari, (siku moja kabla ya safari) magari ambayo yangekidhi viwango wanavyovitaka yangeruhusiwa kuanza safari siku husika. Kwa kuwa binadamu wa tanzania hathaminiwi utu wake, ndio maana wanapigishwa miayo pale terminal. Poleni wasafiri, mnaokwenda iramba magharibi pelekeni m4c jimbo lipate mbunge sahihi muda ukifika.

Hapo kwenye red!Binadamu akishaingia kwenye basi anageuka kuwa mzigo.Ndiyo maana madereva wakifika mizani wanaulizwa mbona mzigo umezidi?
 
Mkuu hii ni elimu mpya, wajephya mwanitru.
 
Mimi pia ni mmoja wa waathirika.
Niko kwenye basi la METRO tangu saa 12.30 muda huu ndio tumetoka tuko kibaha stendi.
Hakika hali imekuwa tete sana, na sijui ntafika saa ngapi Ngaleloo!
Mkuu mleta mada naomba tutafutane japo pale sehemu ya Menyu Comfort Motel. upo na basi gani?
 
Mleta mada anaenda singida sidhani kma mtakutana
 
Ni karibia wiki sasa mabasi Ubungo yanaondoka saa mbili asubuhi badala ya saa12 asbuhi.
 
Back
Top Bottom