Kero ni dalili za ungonjwa kwenye MUUNGANO

kuchangumu

JF-Expert Member
Apr 2, 2014
724
290
Muungano wa sasa wa Serikali mbili ulikuwa kama Mtu mgonjwa, na Dalili za ugonjwa zikiwa ni zile Kero ambazo haziishi Daima. Hivyo Tume ya Warioba ilikuwa kama Daktari aliyeletewa huyo Mgonjwa na baada ya kumchukua vipimo, akaamua kwamba tiba yake ni upasuaji tu, na sio kitu kingine. CCM wakasema upasuaji hapana, Asprin pekee ndiyo inatosha".
 
Tatu haziepukiki...
 

Attachments

  • 1401620334581.jpg
    1401620334581.jpg
    13.3 KB · Views: 84
Ooyooo penye kundi la vipofu chongo huwa mfalime na iko siku hawa vipofu watachoka na kuingia mitaani na hapo ndo yule au machongo watakapojua sasa ni haki au batil
 
Back
Top Bottom