<br />yaani zamani nlikua naipenda tigo utadhani kuna hisa nlizokua namiliki. Hata mtu akiisema vibaya ilikua inaniuma sana na mara nyingine najaribu hata kuwatetea. Lakini kwa wanacho nifanyia sasa yaani nyie semeni tu wala siumii na wala siwatetei. Tena hata mimi mwenyewe nimewapa adhabu mana line ya tigo nimeweka kwenye kitochi cha nokia. Na ile simu yangu nyingine nimeweka AIRTEL yaani hakuna matata. Tigo ndo basi tena kwangu imeshakua subsidiary.
<br />
Kumbe tuko wengi ehh! Yani mi pia nduguyangu ni kama ww, tigo nimetokanao mbali sana, nilikua nawaheshim lakini siku hizi na ujinga wai huu wa matangazo unapopiga sim sina ham, line ya tigo na mimi ipo ktk Nokia kitoch ina zaidi ya miezi sita sija recharge, ni ya kupokea sim tu! Natumia airtel long time, **** mbuge majuzi ali raise hii issue ya matangazo unapopiga sim bungeni kuwa inatupotezea muda wa uzalishaji mali lakini waziri husika akajikanyaga tu! TIGO to hell!!!!!