Kero kero mtandao wa tigo jamaniiiiii

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
ASALAAM ALAYKUM WANA JF HIVI MAWASILIANO HASA NI KERO SASA KWA MTANDAO WA TGO MPAKA INAKUWA HATUNA IMANI NA WENYE MTANDAO AU NDIYO AINA YA UFISADI MAANA UNAWEZA KUWA UNAPIGA HAMUSIKILIZANI NA PESA WANACHUKUA YAAN NI KEROOOOOO,
IMEKAA VIBAYA HIII
Conquest-ufisadi tz mpka lini

.......... mie naweka mtu katika loud speaker, wakati mwingine unabidi uende kipembeni. network iko very poor, wamekalia kuchezesha bahati nasibu tuuuu ! hovyo kabisa !!

Mimi mara nyingi tu nimewashauri watu wahamie AIRTEL, lakini miafrika ndivyo tulivyo kwa ubishi hatuwezekani.

...........ukiingia huko utapata ugonjwa wa kuhama ! (celtel, Zain, Airtel ..........what next ?)

Mt u ukimpgia hapatikani, mpk upge mara nyingi, na mpaka ujue kama hapatikan,lazima usikilize lile tangazo looooote! Dah! Pesa ze2 kero ze2.

BABA YAKO MDOSI NINI HAU HUJUI KAMA WAMILIKI NI WAHINDI HUKO NDIYO ACHA KABISA YAAN ILE RINGTONE WANAKULA PESA
SHITTTTTTT,
conquest-fool is fool not wise

Nunueni simu za Kichina zenye line tano, nne za GPRS na moja ya CDMI.
Kwa hiyo unaweka line ya tigo,voda, zantel, airtel na sasatel.
Raha mtindo mmoja, hamna malalamiko anymore

Hili ndio suluhisho kwa sasa...

ukitumia line ya tigo kumpigia mtu unalazimishwa kusikiliza tangazo lao la tigo pesa mwanzo hadi mwisho. Upuuzi mtupu

I thought my phone was faulty.. Coz I can never hear a person clearly unless I move here and there to find better reception, boooooooooring!

Mie wamenitesa kiasi kwamba kwa sasa lini ya tigo siweki pesa tena. Niki top up kila baada ya saa mbili ama tatu wanajichukulia sh. 400 bila ridhaa yangu. Cha msingi nilichoamua ni kuiacha tigo kwa ajili ya atakaenipigia tu. Kwa ninao wapigia natumia airtel Mtandao unaonitendea haki kwa sasa.

Was***** sana hawa jamaa tena wanaboa
@unaweza kujiunga na x-treme sms ukianza kutuma wanakata credit uliyonayo
@kila siku wanakata hela ya ile ringtone yao ya tigo bila ridhaa ya wateja and how do u block hiyo huduma?
@unaweka hela wakati mwingine inakatwa bila sababu
@kituko kikubwa una shida kama mteja ukipiga customer service unatozwa 50-100,what the **** is all this?

Tigo kwa sasa nahisi yamewafika yale yaliowakumba iliyokuwa Meridian biao bank

.......... mie naweka mtu katika loud speaker, wakati mwingine unabidi uende kipembeni. network iko very poor, wamekalia kuchezesha bahati nasibu tuuuu ! hovyo kabisa !!

Bahati nasibu.....? wanapanga matokeo. we tangu usikie hizo bahati nasibu zao, jamaa yako wa karibu yupi umemsikia kashinda?

Dah!nilisahau sh***** sana hawa jamaa, wana tangazo lao lingine la tigo pesa wanalodai "ONGEZA SALIO UPATE MARA MBILI" matokeo yake ukiweka 500,1000 nk wanakupa dakika za bure,what they advertise is typically the opposite to what they are doing

Was***** sana hawa jamaa tena wanaboa
@unaweza kujiunga na x-treme sms ukianza kutuma wanakata credit uliyonayo
@kila siku wanakata hela ya ile ringtone yao ya tigo bila ridhaa ya wateja and how do u block hiyo huduma?
@unaweka hela wakati mwingine inakatwa bila sababu
@kituko kikubwa una shida kama mteja ukipiga customer service unatozwa 50-100,what the **** is all this?
............waliniambia kuna offer: lipa Tsh 1,500/= upate dakika 5 kupiga Kenya, nikajiunga na sikupata hiyo huduma. Nimeripoticustmer kea, no solution. nimeapa sitaki offer yeyote isio direct !

Back
Top Bottom