Kero katika mahusiano ya ndoa ....

Naona Beijing mmechachamaa........!! Loh

Na huu msimu wa World Cup lazima ile kwenu!!
 
hivi mpaka hapo bado unamsubiri mtu aje mle? hapana! kama nimejickia kumsubiri ni saa 4 mwisho, na hapo ni kama nimejickia kumsubiri,hivi na unavyomsubiri mpaka hiyo saa 6-7 upogo macho tu na tv?...mwehh
Kusema kweli kuna baadhi ya wanaume ambao ni vigumu kuwaelewa. Mimi huwa najiuliza kwa nini alinioa, naonaga kama vile anajutia uamuzi wake wa kunioa. basi tu
 
yule ulimdekezaga sana...nahic sasa hivi atakuwa anajutia kukukosa,atakuwa anajuta sema ndio afanyje tena, mie angeshanikosa kitambo huyo!
 
We ukikaa home, kama wote mko sitting room, lazima uangalie TAMTHILIYA hata kama kuna game linaendelea!!! Yaani labda ukajifiche chumbani!! Sasa nani atapenda kuangalia game chumbani??

We subiri, word cup inakuja. Kuna mechi hapa, kuna KOMEDI PALE, wanawake wengi kama si wote watakimbilia kwa komedi au kwenye tamthiliya. Sasa mwanaume ukaangalie mpira chumbani?? Lazima uende bar.... hata kama hunywi.

Kwa kweli mpira wa kuangalia kwenye jumuiya na compnay yako ni raha sana, tena kama kuna nanihii kidogo na kinywaji basi taratiibu.. naona wazee wa Tusker Baridi, mambo ya Chawote ni raha tupu hapo...:A S tongue:
 
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:

Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .

Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:

Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )

Why .......Why........ Why ????

...kama ni tabia ya kila siku, ya nini huyo mke kujisubirisha? hajifunzi tu kumzoea huyo mtu wake, au ndio wale wanaojipa moyo 'atabadilika' ?
 
Akirudi mida hiyo highlighted in red hapo juu usimfungulie mlango FL1 lazima uwe na principle hii inamaana muheshimiane lazima kuwe na mipaka bwana! that is too much! we kesho akirudi mida hiyo hebu mfungie nje apigwe na baridi uone kama the next day atachelewa! komesha hiyo tabia...
 
Kusema kweli kuna baadhi ya wanaume ambao ni vigumu kuwaelewa. Mimi huwa najiuliza kwa nini alinioa, naonaga kama vile anajutia uamuzi wake wa kunioa. basi tu

...Mwj'1 ukijiuliza "anavyofikiria" yeye unajiumiza kichwa tu, huwezi kupata jibu la ukweli mydear. Kila mtu ni dereva wa mawazo yake, 'siri ya mtungi!'
 
Kicheni pati kicheni pati napata hapa jinsi ya kudili na mume wa jinsi hizi. Ni maujuzi tu naona watu mnarusha. Afdhali Firstlady umelianzisha. Hao wanaume umewagongea msumari kwenye ubongo hawaonekani kujilinda wanajua madhambi yao ndo maana wako kimya ingawa Teamo naona ananyatia thread.
 
...kama ni tabia ya kila siku, ya nini huyo mke kujisubirisha? hajifunzi tu kumzoea huyo mtu wake, au ndio wale wanaojipa moyo 'atabadilika' ?

Mbu ni sawa unaweza kumzoea ila inakera pale mida hiyo mibovu umelala yeye anataka kudumisha mila kha...hii ni sipendi yangu
 
Akirudi mida hiyo highlighted in red hapo juu usimfungulie mlango FL1 lazima uwe na principle hii inamaana muheshimiane lazima kuwe na mipaka bwana! that is too much! we kesho akirudi mida hiyo hebu mfungie nje apigwe na baridi uone kama the next day atachelewa! komesha hiyo tabia...
Kwa hiyo hapa akija saa saba nane nisimfungulie mlango:help:?
 
...wee wee weee,...acha kabisa kuwadanganya wenzako, kesi itakugeukia hiyo. Wengine hutafuta kianzio tu, unamfungia nje naye anahamia huko huko.
 
I wish my wife angeiona hii thread angejiona ni mtu mwenye bahati kulimo mtu yeyote duniani
 
Kwa hiyo hapa akija saa saba nane nisimfungulie mlango:help:?
naona unajitafutia talaka sasa!
principle ya ndoa yangu ni:''KILA MTU ANA UFUNGUO WAKE,NI MARUFUKU NA HAIRUHUSIWI MSHIKI KUNIPIGIA SIMU NA KUNIULIZA NIPO WAPI MIDA YA USIKU.......!ninahitaji muda kukaa na marafiki ili nijiongezee wigo wa kutoka ki-maisha..''....lakini mshiki akirudi home zaidi ya saa 12,SHE WILL GO HOME!nauli yake ni sh 200 tu had kwa wazazi wake
 
Nakutafutia jibu ngoja nipige valuu jioni hii kesho nitakujia na jibu I will make sure nakuharibia siku yako ya kesho stay tuned....na pia acha Uselfish wa mapenzi...
 
Kwa hiyo hapa akija saa saba nane nisimfungulie mlango:help:?

...mnh, naweeeeee!? akikung'utwa huko nje na majambazi au vibaka tabu si itakupata wewe kumuuguza? Usipomfungulia nakuhakikishia nawe utakesha macho na presha juu ukiwaza na kuwazua kaelekea wapi. Don't do it!
 
...wee wee weee,...acha kabisa kuwadanganya wenzako, kesi itakugeukia hiyo. Wengine hutafuta kianzio tu, unamfungia nje naye anahamia huko huko.

Haya endelea kulea huo uozo! kesho utatujia hapa na jingine...but try your side lakini...inategemea tokea enzi za uboyfriend na ugirlfriend ulimtreat vipi??
 
Nakutafutia jibu ngoja nipige valuu jioni hii kesho nitakujia na jibu I will make sure nakuharibia siku yako ya kesho stay tuned....na pia acha Uselfish wa mapenzi...
The Following User Says Thank You to tete'a'tete For This Useful Post:

Teamo (Today)

Back
Top Bottom