Kero katika mahusiano ya ndoa ....

Kaizer na FL1 poleni na avatar yangu but be happy for me course am trying to ammend my broken heart.
 
Swala hapa sio unyumba ,swala ni mapenzi na family..mnaona nyumba zenu kama kituo cha police au??
Ukiwa huko huwa hukumbuki family yako?

Kwanza FL1 inawezekana kabisa mama mwenye nyumba ana ukorofi wa aina fulani. Inakuwa shida kidogo kama kila mkikaa na mwenzi wako kuna kuwa na karaha za hapa na pale. Wamama wetu huwa na tabia moja ambayo nimeigundua. Huwa na mapenzi sana kwa waume zao pindi wanapokuwa hawajapata mtoto hata kama bwana anauka pombe. Pindi apatapo mtoto huamisha mapenzi zaidi kwa mtoto, hivyo mume huisi kuwa katengwa na hii humfanya a hang zaidi na marafiki. Tabia hii huendelea na kuwa mazoea. By the time mama anakuja kurealize jamaa keshakuwa adicted, zitakazofuata ni kelele kila siku na hii atamfanya jamaa atokomee porini zaidi.
Kuomba unyumba ni issue moja kubwa sana! Tena muombe Mungu sana na utoe ushirikiano wa kutosha la sivyo atatafuta huko na akuletee mabaki. Je kama angekuwa anakuja anakupiga mgongo ungesemaje? Tena zinapita siku lukuki wala joto la mkono wala hulipati.
Jichunguzeni mlikoanzia na sasa mko wapi utapata jibu kosa mlilolifanya, then rekebisheni, na zaidi vunjeni ukimya ongea na mwenzako.
 
Back
Top Bottom