JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 497
Yani jamani hasira zimenipanda mpaka kwenye koo. kwa nini hakuna customer service inayoeleweka hapa Tanzania?? sio makampuni binafsi sio mashirika binafsi na ya umma kotekote ni balaa.
Mtu unaenda benki unahitaji huduma rahisi tuu kupewa ATM card ambayo uliambiwa urudi baada ya mwezi ukarudi ukaambiwa bado haijawa tayari. ukapewa tena wiki mbili ukaamua kuchukua mwezi kabisa uwape muda wa kutosha. unarudi baada ya mwezi unamkuta yule anayetoa kadi hayupo kapata sijui dharura or something.
Unaongea na assistant branch manager unamuambia umekuja kuchukua ATM card and she tells you anayetoa hayupo so what kama hayupo??? unamuuliza okay fine hayupo but atleast there has to be someone else to take cover anakupa silly excuses with some stupid attitude sijui si nishasema ni emergency kashindwa kuja sijui security reasons sijui hakuna mwenye password zaidi yake kwa nini kusiwe na mtu anayechukua desk in cases like these??? anakuangilia like what is wrong with this mtu standing on my desk asking me all these questions??? utadhani mtu akiwa hayupo basi na ofisi imehama au imeondoka naye.
We need to change kwa kweli. nyie wote wenye makampuni na ofisi inabidi muanzishe trainings za customer service kwa wafanyakazi wenu especially BANKS. mtapoteza wateja. ni bora kubank fedha account za nje kuliko kubank za hapa na huduma zenu mbovu. MBADILIKE.