Kenyatta Plot to Settle Kikuyu in Tanzania

Mkuu hii minyanga'au imetuzidi kwa kupiga domo tu hakuna lingine. Laiti tukiwaweza kwenye kusimamia uchumi wetu kwa umakini in near future hawa manyang'au watakuwa hawana la kufanya zaidi ya kubaki wakipigana wenyewe kwa wenyewe. Kitu wasichokijua ni kuwa tunataka usawa na kuheshimiana kwenye hiyo EAC wao wanataka wawe ndio viranja wetu wajichukulie rasilimali zetu watakavyo. Itawezekana wapi?

Tayari muna watu wa mataifa mengi wanaoishi Tz, wanaofanya biashara na wamenunua ardhi kutoka serikali ya Tz. Hata kama wageni wamenunua chini ya mpango wa Kulizi wa miaka 5 au 99, serikali inafaidika kutokana na ununuzi huo. kwa hivyo sioni haja ya kuzua matusi. Ikiwa munataka usawa katika EAC mutapata, pengine kwa usawa wa ugavi wa viti kwa wajumbe wanaowakilisha mataifa yote ya jumuia ya Afrika Mashariki. Lakini ikifikia uongozi wa EAC, lazima kuwe na uongozi mmoja. Kuna pia katiba ya EAC, tofauti sana, kwa mfano na katiba za nchi ambao ukitekelezwa vizuri, waTZ mutaridhika.
 
...Ukisema watakwambia watanzania wanaogopa EAC kwasababu ni wavivu...umafia huu ndio unawatia shaka watanzania walio wengi kwenye kada zote.
 
Endeleeni kulalamika tu, kwa ajili ya 'amani' ya mioyo yenu and that will make you happy, ila ukweli ni kuwa hamuwezi kuzuia mafuriko(social intergation)
 
Endeleeni kulalamika tu, kwa ajili ya 'amani' ya mioyo yenu and that will make you happy, ila ukweli ni kuwa hamuwezi kuzuia mafuriko(social intergation)

Kweli kabisa ma Nyang'au wengine tunawaona mpaka JF wameshajipenyeza na u mod wamepewa.

Nyang'au (source: J.K. Nyerere)
 
Nyerere alikuwa anaipenda afrika ya mashariki yote:

(a) Alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika kusudi sote tupate uhuru pamoja;
(b) Alikuwa tayari kumsimamisha Jomo Kenyatta ndiye awe rais wa Afrika ya mashariki, yeye Nyerere mwenyewe awe waziri wa mambo ya nje tu.
(c) Alikuwa tayari kuwapokewa wakikuyu wote waliokuwa hawana ardhi huko kwao Kenya waje kusihi Tanzania, kama alivyofanya kwa warundi na wanyarwanda ambao walikumbana na migogoro ya kikabila huko kwao.
(d) Hata baada ya kuanzisha Jumui ya Afrika ya Mashariki, alikuwa tayari kuacha makao makuu ya mashirika makubwa ya jumuia hiyo kama vile Ndege, Reli, na bandari yawe Kenya.

Hata hivyo wenzetu wa Kenya hawakuwa waungwana kabisa na walitanguliza zaidi maslahi yao binafsi. Ni kutokana na historia hiyo ya ubinafsi ndiyo maana watanzania wengi tunaingalia Kenya kwa jicho la makini sana, jambo ambalo limefanya kukua wa jumuia ya Afrika ya mashariki iwe ndoto. Laiti Kenya isingekuwa mojawapo ya wanachama wa jumuia hii, nina imani kuwa jumuia ingekuwa imesharuka juu sana. Historia hiyo inaziweka nchi za Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi kwa karibu zaidi ya Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Endeleeni kulalamika tu, kwa ajili ya 'amani' ya mioyo yenu and that will make you happy, ila ukweli ni kuwa hamuwezi kuzuia mafuriko(social intergation)

I suppose you meant social integration..which has already taken place as it is evident here...

Back to the point, social integration does not equate to free LAND for all yalll:lol:
 
Ingawa mipaka iliwekwa na wakoloni lakini sasa kuna nchi tofauti na kila nchi inahitaji kupewa heshima kwa sovereignty yake.
 
Mkuu hii minyanga'au imetuzidi kwa kupiga domo tu hakuna lingine. Laiti tukiwaweza kwenye kusimamia uchumi wetu kwa umakini in near future hawa manyang'au watakuwa hawana la kufanya zaidi ya kubaki wakipigana wenyewe kwa wenyewe. Kitu wasichokijua ni kuwa tunataka usawa na kuheshimiana kwenye hiyo EAC wao wanataka wawe ndio viranja wetu wajichukulie rasilimali zetu watakavyo. Itawezekana wapi?

Jameni matusi hayo tuacheni, sote ni raia wa Afrika Mashariki. Kenya ilionyesha uungwana huko Libya na Misri pale ilipotuma ndege ya Kenya Airways kuwanushuru raia wa Afrika Mashariki wakiwemo Watanzania. Kuhusu uchumi wa Tanzania Soma Hapa na kuhusu uchumi wa Kenya Soma Hapa. Ni takwimu za miaka mitatu iliyopita lakini kwa ujumla zinaonyesha hali ya mambo. Nchi zote mbili zinahitajiana ili ziweze kustawi. Umoja ni nguvu. Am an East African opitimist.Tujiepushe na skeptical views. We are complimentary.
 
...Ukisema watakwambia watanzania wanaogopa EAC kwasababu ni wavivu...umafia huu ndio unawatia shaka watanzania walio wengi kwenye kada zote.

Mimi nadhani kitu watanzania wanahofu nacho, ni wasomi wengi kuingia TZ, kwa kuwa watanyanganywa ajira zao. sina uhakika kama kuna wa nigeria wengi hapo TZ
 
Wakenya iko janja sana eeh, hatukubali. kama mliruhusu freehold kwenu mtuachie ardhi yetu. Nadhani mkiona mapori yetu roho zinawauma sana eeh....

Ikiwa shida ni wakikuyu, kwanini munataja wakenya kwa ujumla.
 
How my heart hurts, averting itself from anger witnessing this unending single track adoration of silly colonial borders.
 
Back
Top Bottom