Kenya's Funeral and Politics on Shikuku's Farewell

Magu

Senior Member
Jun 13, 2011
156
56
Kenyan's are playing politics on the funeral of the late Martin Shikuku, something u wii never experience in Tanzania.

Tanzanian should we copy the way our neighbours Kenya are doing or we have to keep our own style of life and politics

Plz see Kbc and K24 TV and comment
 
Marehemu Shikuku alikataa kabisa msiba wake usitumike kufanya siasa. Cha ajabu, hawa watu hawafuati maelekezo yake na badala yake wanafanya siasa. Nikirudi kwenye mada, nafikiri hatuhitaji kuiga Wakenya wanavyoendesha misiba ya wanasiasa. Sisi tuendelee na ya kwetu. Mazishi ya Wakenya wanayafanya kuwa ya gharama kubwa sana.

Tiba
 
Kwa kweli Magu wewe ndio ulianza huu mjadala. Kama umeridhika na siasa za kwenu, mbona usibaki kimya?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom