Kenya's first openly gay candidate ready for a fight!!!

Mimi nakuita kijana maana mimi nina more than 53 years sasa. NINAKUKANYA KATIKA JINA LA YESU UACHANE na hiyo dhambi ya USHOGA maana kama BIBLIA inavyosema katika kitabu cha MWANZO kwamba Mungu alisema na tuumbe mtu kwa mfano wetu, basi MUNGU akamuumba MWANAUME na MWANAMKE

Kwenye Chapters zinazoendlelea akasema ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE NCHI.

Ssa niambie wewe na uhusiano wako huo na WANAUME Wenzako utatimizaje agizo la MUNGU la kuzaa na kuongeza idadi ya watu ?
Wapi kwenye BIBLIA aliposema Mungu aliruhusu MWANUME AOANE NA MWANAUME?
TUBU DHAMBI ZAKO NA UACHE MARA MOJA YESU YUKO TAYARI KUKUPOKEA.
Mimi mama yako

Homosexuality, is it a Sin?
 
Umesahau HQ ya MOMBASA au wewe ni mdau unayehusika huko?

kwani wewe ni mdau wa wapi ?? hujui kwamba HQ ziko huku zamani na watu wanaoana kabisa kuliko huko Mombasa ??

Waiting List - gay Meetups - Kikuyu ukifungua hio link chini unaweza ukaona mashoga kwenye miji hii Other nearby cities:Nairobi, Thika, Kiambu, Ngong, Naivasha, Limuru, Machakos, Kajiado, Karuri, Murang'a, Kangundo, Kijabe, Othaya, Kangema, Sagana, Mavoko, Magadi, Maragua, Konza, Kandara, Makuyu, Ruiru
 
unatarajia kupambana na usiyoyaelewa na kuelezea ukifikiri utashinda?

hivi wewe unafikiri humu kuna mashindano ya JF ??? kwanza nani kaandika biblia ???? tuambie hivyo unavyojua wewe au ulivyoambiwa na kanisa lako???
 
Back
Top Bottom