Kenya’s demand for power rises past 1,600MW mark

Muria

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
281
181
Kenya’s demand for electricity has crossed the 1,600-megawatt mark for the first time as companies expand their operations and more homes get connected to the national power grid.

Data from the Energy Regulatory Commission (ERC) shows that power consumption hit 1,618 megawatts last month — the highest level yet in the country’s history.

The previous peak demand was 1,587 megawatts in May.

Increased power consumption is a factor of rising economic activity and connection of more homes to the national grid.

“Our peak demand rose to 1618 megawatts in September 2016. This is the highest we have recorded,” said Joseph Oketch, director of electricity at the ERC.

Kenya’s peak demand has steadily increased from of 1,463 megawatts in 2013, marking a 10.5 per cent growth in the past three years.

Duh! Halafu watu wanashinda hapa kupiga kifua kwamba sijui Kenya hivi mara vile sijui economic power Afrika, sasa nchi ya watu zaidi ya milioni 40 kutumia umeme wa MW 1600 tu?

Nchi ya AK ina watu kwenye milioni 45 na ina zaidi ya 40 000 MW na bado haitoshi!

Come on man Kenya is just least developing country, siamini kama ni middle income country MW 1600 ni ndogo sana kwenye nchi yenye watu zaidi ya Milioni 40!
 
Come on, man Kenya is just a least developing country, siamini kama ni middle income country, MW 1600 ni ndogo sana kwenye nchi yenye watu zaidi ya Milioni 40!
 
Bro, Electricity demand/consumption/generation usiilinganishe moja kwa moja na population, labda na uchumi.
Mfano, Nigeria is the "largest economy in Africa" lakini bado mahitaji yake ya umeme yanakaribiana na ya Kenya. Tanzania ina watu zaidi ya millioni hamsini na peak demand ya umeme ni 1000MW.

Kuhusu viashiria vya ku-classify nchi kama middle income, umeme si mojawapo. Kinachoangaliwa ni per capita GNI.
 
Hapana Matumizi ya umeme yanaendana na Uchumi wa nchi, Nigeria inaonekana ina uchumi mkubwa tu Afrika kwa sababu ya idadi ya watu, Nigeria wanakaribia watu milioni 200, hivyo ukichukuwa idadi ya watu wa Tanzania yetu ukazidisha mara 4.5 ili tuwe sawa na Nigeria utaona hata sisi Uchumi wetu utakuwa sawa na Nigeria, hivyo hakuna jipya na ndiyo maana utaona hata wao Nigeria mahitaji yao ya umeme ni madogo sana, hawafikii hata 5000 MW ingawaje wako karibia watu milioni 200!

Lakini angalia AK sasa hao ndiyo nchi yenye Uchumi mkubwa kwani mahitaji yao ya umeme ni zaidi ya MW 40 000 na bado wanaongezea kwa maana tayari kuna shida ya umeme kwa kiasi fulani!

Lkn nchi ya Kenya yenye watu zaidi ya milioni 40 ambayo wenyewe Wakenya kutwa nzima wanajisifu humu kwamba ni middle income country kuwa na matumizi ya umeme ya 1600 MW tu ni kichekesho, kumbuka hata Tanzania ambapo sisi tunaitwa ni least developing country matumizi yetu yanafikia hiyo
1600 MW kama hayajazidi!
 
unafahamu maana ya "peak electricity demand "?
 
Are you serious?
 
Bro, Electricity demand/consumption/generation usiilinganishe moja kwa moja na population, labda na uchumi.
Mfano, Nigeria is the "largest economy in Africa" lakini bado mahitaji yake ya umeme yanakaribiana na ya Kenya. Tanzania ina watu zaidi ya millioni hamsini na peak demand ya umeme ni 1000MW.

Kuhusu viashiria vya ku-classify nchi kama middle income, umeme si mojawapo. Kinachoangaliwa ni per capita GNI.

The criteria which were used to classify Nigeria as the largest economy is Africa were completely flawed. How can a big economy use so little power? It is an insult to all Africans. Now we know where Nigeria is. That is probably where it belongs, and maybe even less.
 
Back
Top Bottom