Kenya's ambitions for an outsourced future

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Jirani zetu wanachangamkia tenda, sisi bado tunakoroma usingizi mzito, lini tutaamka ? Sasa wanataka kugawana msosi na wahindi kwenye call centres.......soma mwenyewe link hiyo http://www.bbc.co.uk/news/technology-12004815
Hata Rwanda hawakulala. Ivi ni lini viongozi wetu wataacha kun'gan'gania na kupeana madaraka wasioyaweza na kuendelea kuididimiza Inji hii ? CCM WACHENI UBINAFSI TUNATAKA KATIBA MPYA YENYE KUKIDHI MAHITAJI YA WOTE... LA LEO LIFANYWE LEO, SIO KESHO !!!! :angry:
http://www.bbc.co.uk/news/technology-12004815
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom