Kenyans Voted Ugliest in Africa

Lol! Nimecheka sana!
Kuna watu akili zao zinawaza nini sijui! Ila nakubaliana na FF, kwa dunia nzima Tz tunashika namba kwa kujichubua! Ukipoteana na mtu 10 yrs mkikutana keshakuwa mdhungu usoni, usithubutu kumuangalia miguu kama bado hujapata lunch!
 
Africa bana...kweli viongozi wetu ni zao la sisi wenyewe.

"Miafrika ndivyo tulivyo". Nyani Ngabu
 
Duh wapo jamaa wa South Sudan sidhani kama walishirikishwa.Ebu angalia hawa ndiyo vipusa wa S Sudan.

02-08-2012-southsudan.jpg

Hapa sidhani kama upo sahihi mkuu unless kama unazungumzia rangi ya watu. Wanawake wa South Sudan ni wazuri sana kama unavyoona kwenye picha, ila weusi wao ni ule uliokaza sio kama wa kwetu huku.

Tiba
 
Hii kitu mbona kama imekaa kama utani vile? Eti wanamtania mpaka Mzee Kibaki kwamba ni ugliest President under the sun!!!!!

Tiba
 
Ujinga huu siwezi kukubaliana nao kabisa mke wangu wa pili ni mkenya (mjaluo); yes ni mweusi lakini mzuri sana aisee, meno meupe shape safi kabisa..

Huu ni ujinga na bad looking wako kila taifa..aisee sijapenda haya matokeo hata kidogo..

Anyway inawezekana kwasababu nina interest na wakenya
Hujakosea hata kidogo. Wahenga walisema "mpenda chongo huona kengeza"!
 
With an exception of LUOS , i don't think Kenyans are the ugliest in Africa. Maybe the most trecherous on the continent!
 
Hahahaha this is googd news sio Africa tu bali world wide, wakenya sio kwamba wna sura na maumbo mabaya, bali hata roho zao ni mbaaaaya.
Mnaowatetea wakenya hayajawahi kuwakuta..... jamaa wana wanatisha hawa
 
dah its true that rwandan gals are the prettiest but hapa tanzania waCHINA wametusaidia sana tungekua last
 
Dah kuna jamaa mmoja ni Mkenya anaitwa Ogwambo alikwepo mitaa flani ya pale Songea miaka ya tisini. Wakati huo umeme ulikuwa shida sana so yeye alikuwa na mashine ya kusaga na kukoboa nafaka, hapo nje kwake kaandika MTAKUJA TUU, bei kapandisha mara mbili ya wenzie, jamaa alikuwa mkatili sna yule
 
Haya mashindano mengine ni ukiukwaji wa haki za binadamu hata Mungu hapendi kwani kwaye kila mtu ni mzuri thts why akamuumba. By the way the thread made my furahi day!
 
Tanzania haijashiriki? haijatajwa imeshika nafasi ya ngapi....kama hawakushiriki ni kwanini,- Je vigezo zilikosekana - too Ugliest or too beauty?
 
Teh teh tihiiiii.... katika wakenya kumi niliokutana nao mmoja tu ndiye aliyekuwa ana ka unafuuu wengine were real ugly...... lakini acheni utani kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Lionokalio wa Upokoti....... mweusi kuzidi......

Lakini kitu kitakacho wasaidia ni intermarriage...... wakichanganya damu watapata wanyange mpaka watashangaa........ Ukabila ndiyo unao waponza......
 
Haya mashindano mengine ni ukiukwaji wa haki za binadamu hata Mungu hapendi kwani kwaye kila mtu ni mzuri thts why akamuumba. By the way the thread made my furahi day!


Haujui kuwa hapa Tanzania yalishafanyika mashindano ya kutafuta mtu mwenye sura Mbaya jamaa fulani wa Ilala akawa wa Kwanza akifuatiwa na Marehemu Remmy Ongala
 
Haujui kuwa hapa Tanzania yalishafanyika mashindano ya kutafuta mtu mwenye sura Mbaya jamaa fulani wa Ilala akawa wa Kwanza akifuatiwa na Marehemu Remmy Ongala

Huyu hapa jamaa mwenyewe..Masudi Sura Mbaya!


6851554577_80f8cddaf6_z.jpg

 
Hahahaha this is googd news sio Africa tu bali world wide, wakenya sio kwamba wna sura na maumbo mabaya, bali hata roho zao ni mbaaaaya.
Mnaowatetea wakenya hayajawahi kuwakuta..... jamaa wana wanatisha hawa

Hahahaha!...Umetuchukia kweli...but God our Father has never created anything ugly!! there is beauty in everything....sioni lengo kuu la mashindano hayo..bali ni kazi ya watu ambao wamekosa jambo la kufanya..ama kutufurahisha tu!
 
This was a piece written by a kenyan to make kenyans laugh at themesleves........and it woked.....i remember reading it some time last year, nilicheka sana.
 
Back
Top Bottom