Kenyan's--They are clever

Mwenzangu....leo hi natibitisha kuwa mimi Mtanzania Halisi Kutoka Morogoro.Kamwe mimi sio mkenya ingawa nimekaa Kenya kwa muda mwingi sana
 
Of all the members I never thought of kayundi2 being a Tanzania!

By the way, innovation is not "copy and paste"!

Baba Enock....Nakuelewa....MIMI MTANZANIA BABU.....Lakini wakenya hawa mimi nawaelewa.Nimekaa nao sana
 
Typical Kenyan (i.e. mungiki type)! Kawaida yao ni kujisifia. Yes indeed, the mungiki are "clever" as they terrorise Nairobi and its surbubs...
 
jANEJO, CONTRIBUTE INTELLIGENTLY, BECAUSE WHAT YOU SAY PORTRAYS WHAT YOU HAVE BETWEEN YOUR EARS, AND I CAN EASILY SEE THAT YOU HAVE A VACUM.
 
Mwenzangu....leo hi natibitisha kuwa mimi Mtanzania Halisi Kutoka Morogoro.Kamwe mimi sio mkenya ingawa nimekaa Kenya kwa muda mwingi sana

Morogoro?

Ha ha ha!

Poa basi kayundi2!

Tupe story za kenya- vipi kuna jipya huko kati ya Raila na Kibaki? Is it likely that Raila will succeed Kibaki in 2012?

Who will he pick? Kilonzo?
 
Mwenzangu....leo hi natibitisha kuwa mimi Mtanzania Halisi Kutoka Morogoro.Kamwe mimi sio mkenya ingawa nimekaa Kenya kwa muda mwingi sana

Kayundi2,

don't unmask yourself over here bila mpango.Tangu lini wabongo wakaenda 'misterseed' kuangalia that tribalistic website?Kisha Kiswahili chako kinaleta mushkil mathalani hebu tazama makosa ya tahajia ul'onayo mwenzangu....Mbongo ni mbongo na utamjua tu.Si lazima asema kauli kama hizi za "mimi sio mkenya...."

P.S...Kwani wamekufukuza?

Tuko pamoja.
 
.

How did you get to know it existed si you had to look? and the last time i checked you were a Tanzanian.
 
Looks like one of those pyramid/multi level marketing deals, not very clever.
 
.

How did you get to know it existed si you had to look? and the last time i checked you were a Tanzanian.

Hellfire20,

Kwanza kabisa nilikua naongea na Kayundi2, sijui wewe yamekukunia nini?

Kisha I had looked at the website coz I have heard about it in various circles
na Kayundi2 with his spamming ways, made sure we check it out...je kuna tatizo?
 
Kwani Bw. Kayundi hafai kuwa MTZ?. Tanzania yenyewe ni taifa la kubuni acheni kuwabagua watu.
 
Hawa jamaa hamna aliyewafukuza licha ya 'nature' ya posts zao ambazo in most cases zinamrengo wa kutaka kuipamba nchi yao, na kuitweza nchi yetu tukufu ya Tz, kuwa si chochote si lolote.

Hata hivyo timeshawazoea, wakikua wataacha.
 
....ndo maana nakufagilia mtundiowaubongo.One love.Si chuki bora watuelewe tu!
 
Back
Top Bottom