Kenyans On Street Again

DNFOODDEMO0707VV.jpg
 
wenzetu wakiingia mitaani wanapata wanachotaka serikalini, hivi watanzania tuweze kubadilisha tactics za ku-protest na cdm jifunzeni nchi zingine anything is possible

Majibu umejipa mwenyewe...tatizo ni hilo la kutegema chama fulani kianzishe protest..wakenya hawangoji ODM wala KANU kuanzisha maandamano, wanayaanzisha wenyewe.

Sasa wewe unataka CHADEMA wajifunze, afu hapo hapo unasema watanzania tubadilishe tactics!!! Jambo la kujifunza hapa ni kwa mimi, wewe, yule, wale na watanzania kwa ujumla kutosubiri chama ndio kianzishe maandamano ya kudai madai yetu mbalimbali...maandamano ni haki yetu ya kikatiba...yaani tunakua kama hali ngumu ya maisha hatuioni mpaka CHADEMA ndio waseme na kulianzisha?!?!

Kazi bado tunayo!!!
 
Back
Top Bottom