Wivu utakuua kaka!!Jienjoy na Albino Kaka
Dodoma..
View attachment 360125
Their will always be slum areas in every country...even USA...am sure there are in both countries...
I found some shows to highlight housing and home ownership process in all classes of society...
Enjoy...
This contributes to good to average suburbs and property acquisition in Kenya...am Tznian and lived in Kenya and other places...Tz has good areas too!!
Mbona nyumba zenyewe ramani za kizamani.
Kusema ukweli, wenzetu wamepiga hatua kwenye swala zima la makazi, let us be true to ourselves. we do not have well organised settlements like Nairobi. however they are coming up soon bro
Hizo ni za mabepari na wanaweza kuishi humo ni wale wa kipato cha juu. Wananchi wa kawaida 90% wanaishi maisha duni na kwenye nyumba za madebe- siyo mabati. Ndiyo maana huyo ameonyesha Nairobi, Nakuru, na Mombasa tu ambako kuna vivutio kwa wawekezaji. Aonyeshe Kisumu, Machakos, Kisii au Kakamega utawahurumia!
una uhakika kwa unachokisema ndugu....Hizo ni za mabepari na wanaweza kuishi humo ni wale wa kipato cha juu. Wananchi wa kawaida 90% wanaishi maisha duni na kwenye nyumba za madebe- siyo mabati. Ndiyo maana huyo ameonyesha Nairobi, Nakuru, na Mombasa tu ambako kuna vivutio kwa wawekezaji. Aonyeshe Kisumu, Machakos, Kisii au Kakamega utawahurumia!
If what you're saying is true, how then do you know so many Kenyan cities...if not for their sheer size and development..?!Hizo ni za mabepari na wanaweza kuishi humo ni wale wa kipato cha juu. Wananchi wa kawaida 90% wanaishi maisha duni na kwenye nyumba za madebe- siyo mabati. Ndiyo maana huyo ameonyesha Nairobi, Nakuru, na Mombasa tu ambako kuna vivutio kwa wawekezaji. Aonyeshe Kisumu, Machakos, Kisii au Kakamega utawahurumia!
If what you're saying is true, how then do you know so many Kenyan cities...if not for their sheer size and development..?!
The only place i know in TZ is Dar....oh na recently i heard of a Moshi pia (though sijui ni moshi wa nini).