msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Tell that to the likes of those posting pictures of UAP towers in Nairobi...Those are not surburbs
Tell that to the likes of those posting pictures of UAP towers in Nairobi...Those are not surburbs
Am from tz but nrb is miles ahead of us.I can compare dar to Msa cos they're of the same calibre
This guy called lelooo clearly has never been to mombasa nor Nairobi trash Nairobi all u want mombasa ui wache mbali u clearly don't know mombasa its sad!!!...
Dar population doesnt exceed Nairobi's by a million, that is just an exaggeration. The difference is only marginal.prove uongo wangu.kwa nilichoandika.dar watu mil 5 Nairobi around 4.ni uongo huko?dar ina millionaires dollar 4000 Nairobi 5000na huko ni uongo? dar ina majengo zaid ya flour 20 yako 29 Nairobi 30 na huo uongo au niyataje na wewe uyataje ya Nairobi.Mombasa hayafiki matano na ndo ukweli.ukikataa nitayaweka hadi picha zake
Na kwenye mitaa je?Mombasa na Dar Tofauti!!!!
Dar iko Juuu zaidi!
Na kwenye mitaa je?
mombasa is miles ahead of dar in terms of real estate properties
Wewe mpuuzi kweli, si ungetiririka tuu..hadi ni kuambie sasa anza kujieleza.Km wale wapuuzi wanaopoteza muda kumba kushikwa wasipigane eti wataua mtu,badala ya kuanza chapa ngumi.Huna kitu wewe ?Like I said kijana mdogo, come to me quietly and I will lecture you on these things since you sound so clueless.
Wewe mpuuzi kweli, si ungetiririka tuu..hadi ni kuambie sasa anza kujieleza.Km wale wapuuzi wanaopoteza muda kumba kushikwa wasipigane eti wataua mtu,badala ya kuanza chapa ngumi.Huna kitu wewe ?
Dar population doesnt exceed Nairobi's by a million, that is just an exaggeration. The difference is only marginal.
Nairobi population is thot to actually exceed the current estimates by some pipo who choose to consider the adjacent towns such as Machakos, Rongai, Ruiru, Ruai of even Kiambu as really part of the greater Nairobi metropolitan area- all these with a combined population of around 5mn.
Kenya may also have a conurbation by the year 2030 when all these far flung towns within the Nairobi's path of expansion will finally be incorporated within the Nairobi county govt's jurisdiction.
I also think u shld be the one to prove your rubbish claims above...
Haha..hivyo ndivyo unavyosema bye bye?Nimekueleza huelewi.Kuna baadhi ya watu vichwa maji hadi ukitaka aelewe kitu lazima uanze kumfundisha kama mtoto wa chekechea. Hayo huchukua muda kwa hivo inabidi kuwe na special arrangement ambapo anayefundishwa ana hamu ya kujua. Watu wapumbavu kama wewe ni ngumu kuwaelezea kitu.
Wekeni nyumba zenu mnazolala sio kuweka mali za wenzenu. Wacheni unafiki, rukhsa kuweka fying toilet as part ya pale unapoishi.