Kenyan Student Best In The World!

AshaDii, i missed you bad. Ile ndio inawanyamazisha hawa AshaDii, maana wataanza kunikoromea sasa hivi.


Missed you too dear... But sometimes just try to relax, usiwafikiries sana,

Imagine hawapo but once they come be ready any time.. Wadada strong

jamvini ni wa chache hivyo uwepo wako jamvini muhimu...
 
Halafu wakijachukua kazi zenu kwaajili ya umaimuna wenu basi msilalamike. Umuhimu wa English language haupingiki na English itaendelea kuwa global language whether we like it or not. Waswahili wanakwambia "ukasusa wenzio wala". Sasa nyie jitieni ooh ni utumwa kujua English, na wakati huo huo employers wengi bongo wanataka someone who is fluent in English


Hivi criteria ya kazi Tanzania ni lazima ujue ung'eng'e kama Waingereza? Na wapi niliposema kujua kiingereza ni utumwa? Hao employers wengi wanaotaka ujue ung'eng'e wamekuwepo kwa muda gani au ni propaganda tu? Je ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaongea kiingereza kama waingereza? Je ni halali kuwatenga oops kuwaona hawana akili wanaoongea kiswahili fasaha, au tunalimbuka na vya waingereza?
 
Back
Top Bottom