Kenyan Professionals More Competent than Tanzanians??

Ukisikia akili fupi basi ndiyo hii.

Sasa mbona hujamtaja Reginald Mengi aliyewajaza Wahindi na Wakenya kule IPP Media? Mbona huzungumzii Mkono aliyewajaza Wazungu na Wahindi?

Jitu kutwa liko JF, muda wa kufanyakazi utaupata wapi?

Nani kakudanganya Kiswahili kinapendwa dunia nzima? Kama siyo ushahidi wa akili fupi ni kitu gani? :A S 13:

Kama wewe si ponjoro basi utakuwa umeolewa na wadosi mpaka wakakupofusha! Kwa Reginald haajiliwi mtu acha mhindi au mchagga bila qualification, nenda kwenye kampuni zake zote uangalie na kuchunguza kabla hujarudi JF kuja kutapika uongo. Sina uhakika na ajira kwenye kampuni za Nimrod mkono ambaye hata hivyo anatajwa kuwa mmoja wa wawezeshaji wa Ufisadi nchini. Hata hivyo najua Nimrod yuko kwenye mifuko ya hao hao wadosi.

Hoja yangu ya kuwa Watawala wetu wametufikisha hapa tulipo bado inasimama! hawajui kipaumbele chetu kama taifa, wanajidharau na kutufanya pia tudharaulike. Kwa ukweli mtupu, wahindi ni tatizo kubwa kwa nchi yetu maana ni wabaguzi na wala hawataki kujichanganya nasi kama ndugu. angalia makazi yao, shule zao, ndoa zao, lugha zao, na shughuli zao!!

Hakuna aliyenidanganya; maana ni wazi kiswahili ni lugha inayopendwa na kuzungumzwa sana dunia. tanzania tulikuwa na fursa ya kujitambulisha kwa kukieneza na kukitumia kama biashara ya kutuingizia fedha nyingi za kigeni na kukifanya kiswahili kama njia mojawapo ya kuongeza ajira. sasa Wakenya wanafundisha kiswahili Rwanda na Burundi, Wakenya ndio wanaongoza kufanya kazi kwenye Radio na televisheni nyingi dunianai kama watangazaji kwa kiswahili! siyo siri.

Muda wa kufanya kazi ninao Bi. Kudadeki ila ukichunguza utaona nani kati yangu na wewe anafanya kitu cha maana kwenye jamii na nani anapoteza muda kutwa JF
POSTS; Kudadeki 247, Mwanalugali 109
THANKS: Kudadeki 0, Mwanalugali 40
THANKED: Kudadeki 14, Mwanalugali 54

Nchi hii inahitaji mtazamo mpya, tuangalie tunaifanyia nini nchi hii ili iwe ni nchi ya mfano inayoheshimika.
 
Back
Top Bottom