Kenyan MPs get newlook Parliament with $3,000 seats

Usije ukadhani ni viti vya timu ya Manchester uwanjani kwao,bali ni viti vitakavyotumika katika bunge la Kenya thamani ya kiti kimoja kinakaribia USD $3000 au Tsh 4.7 milioni.inakadiliwa vitadumu kwa muda wa miaka 30 mpaka kuchakaa.na hivyo kilifanya bunge la kenya kuwa moja la bunge linye viti ghali afrika.na isitoshe wabunge wa kenya ndio wanapokea kiasi kikubwa cha pesa mwisho wa mwezi ambayo inakaribia USD $10,000 vit.PNG viti.PNG
 
Tukichukulia kweli kuwa viti hivyo vitadumu kwa miaka 30, basi inamaanisha kuwa kila kiti kimoja kinagharimu dola 100 za Kimarekani kwa mwaka, bila ya gharama za maintenance na usafi.

Was it necessary? Sidhani

Will they last for 30 years? Sidhani vile vile
 
Hivi dola elfu tatu $3000?
Durability ya miaka 30, kwani bunge linafanya kazi kila siku? Mbona hakuna thamani ya hiyo gharama iliyotumika?
 
Mungu wangu mtasikia tena hapa kwetu wanajenga ukumbi mpya wa Bunge ili mradi na wao wawe na viti hivyo
 
hongereni kwa viti,maana na nyinyi wakenya bunge lenu liko linakosa mpangilio na mwonekano mzuri wa viti.
 
Back
Top Bottom