Kenyan MPs award themselves Sh 2bn in secret deal....President Kibaki rejects it!

Kila siku tunalia nchi za africa ni masikini kwa mambo yenyewe haya ,,kichefuchefu
 
Si kwamba tu hukumsikia, inaelekea humfahamu Raila! Ungemfahamu - fuatilia wapinzani wake wanamuitaje na kwa nini kina Uhuru wanamchukia hivyo - usingefikiria kuwa alipinga kinafiki.

Mkuu namjua vizuri sana bwana Raila Amolo Odinga Oginga Jatelo Jadwongi! Namjua ni mwanasiasa makini lakini ni mwanasiasa na wanasiasa wote baba yao mmoja.
 
Back
Top Bottom