Kenya yapunuza mafuta kwa shilingi Tano, vipi kwetu TZ

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,781
5,205
leo nilitune KBC channel one mida ya asubuhi. Moja kati ya taarifa zao ilikuwa punguzo la bei ya mafuta (petrol, diesel na kerosene) karibu nchi nzima ya Kenya kuna punguzo la karibu Kshs 5 ambayo ni karibu tshs 70. Je ina maana wenzetu wananunua mafuta sehemu tofauti na tunaponunua Tanzania?
 
ungeeleza kwanza bei yao ya awali ilikuwa sh. ngapi na wanapunguza kwenda sh ngapi. si ajabu wao lita moja wanauza bei ya juu kuliko yetu na sasa wanataka wasawazishe. Njoo na data kamili please na acha kukurupuka.
 
Back
Top Bottom