Kenya yaomba msaada wa Israel kukabiliana na al Shabaab

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga anaomba msaada wa Israel katika kuzuia mashambulio ya kundi la al Shabaab lenye mafungamano na kundi la kigaidi la al Qaeda. Katika taarifa ya serikali iliyotolewa leo Odinga amesema amemuomba rais wa Israel, Shimon Peres,msaada katika kujenga uwezo wa polisi ya Kenya katika kukabiliana na mashambulio ya wanamgambo wa al Shabaab. Vikosi vya Israel ni miongoni mwa vikosi bora kabisa ulimwenguni katika kukabiliana na vitisho vya kigaidi, lakini al Shabaab huenda wakaliona ombi la Kenya kama uchokozi.

Kenya ilituma mamia ya wanajeshi wake kusini mwa Somalia kuwasaka wapiganaji wa al Shabaab, inayowashutumu kwa kufanya mashambulio na utekaji nyara katika ardhi yake. Kwa kujibu hatua hiyo, kundi hilo limeapa kufanya mashambulio ya kigaidi* mjini Nairobi.
 
Ukisikia mzuka umepanda ndio sasa ! a very wrong move!
 
Safi sana Kenya, sasa hawa Mujahidina wataanza kupuputika kila kukicha. Safi sana Kenya.
 
Ukisikia mzuka umepanda ndio sasa ! a very wrong move!

which one is a perfect move to you?
Ulitegemea wakaombe msaada kw nani? Kwa DAVID? Unayajua masharti yake?

Yuko sahihi kabisa;
It's a wrong move kwa sababu hao Al shabab wanasaidiwa na Al Qaeda lakini mmesahau kuwa Al Qaeda nao wanasaidiwa na Israel...

Kama mlikuwa hamjui fuatilieni hapa http://warincontext.org/2010/03/16/israel-is-empowering-al-qaeda-petraeus-warns/

HUYU HAPA
(CENTCOM commander Gen David Petraeus) NDO ALOTOBOAGA HII SIRI
petraeus-hearing.jpg
 
Back
Top Bottom