Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,508
- 1,338
Tanzania inaanza na nguo feki, walizonazo zitaanza kuvuka zenyewe bila ya kuzivua.
Hivi ni kuzima simu fake au laini ambazo hazijasajiliwa? If it is the former how is it practically possible? educate me please
nitakuwa mtu wa kwanza kufurahia kitendo hiki kama kikitokea Tanzania.
Niliwahi kutaja madhara ya Simu Feki, Kiuchumi.
Ya kwamba, TRA inapoteza kipato sana kwa kuwa simu hizi zinaingizwa kama spare part alafu watu wanaunda upya.
Ya kwamba simu hizi zinalipuka kwa kuwa hazina viwango vya FCC ,
Ya kwamba zinawafanya watu viziwi kwa kuwa wachina wanaweka spekaer za redio ndogo,
Ya kwamba Tanzania inatumia pesa nyingi kuagiza vipuri vya simu kwa dola huku zikika kwa wiki mbili tu.
Ya Kwamba Beteri zao zinaundwa kwa karatasi ya ubora wa chini badala ya plastiki au chuma hivyo madini ya L-polymere kuleta madhara.
Tume hii ya TZ initafute niwaonyeshe betri feki (copy) zenye madhara .
Ya kwamba zinatengeza ugomvi sana wananchi zidi ya mafundi wa simu kwani mwananchi safari za kwenda kwa fundi haziishi hivyo kwa wakina mama husababisha kuvunjika kwa ndoa.
Ya kwamba ajira ya Mafundi kuwa mbaya kwani atakosa sifa ikiwa anatengeneza kitu akiponi.
Ya kwamba kwakuwa hizi simu zimecopiwa IMSI , ICCID IMEI No. mtu anaweza kuitumia akijifanya mwenye simu hiyo hivyo na kufanya uaribifu kama wizi na asipatikane au kumwachia dhambi asiye husika, hata wizi wa mitandao.
Naongezea kitu tofauti.
Wenye vibanda vya kusajiri laini wote wafutwe.
1. Usajiri lini yoyote bila kufuta taratibu za kisheria.
2. Uongeza uchafu jijini kwa sehemu wafanyiazo kazi
3. Uleta usumbufu kwa parking za kulipia.
4. Usababisha mafarakano na mgambo kwani hujifanya wako sahihi.
5. Wengi hawana leseni wala kibari hivyo hufanya dhuruma kwa wenye leseni halali.
6. Ni kichaka cha waarifu kwani waarifu hufanya mapozi kwao kuchunguza maduka ya kufanya uaribifu.
7. Wasichana wengi hupafanya kama sehemu ya kukutanisha ma CD.
8. Wameanzisha Uwakala wa Fedha hivyo kukaa hovyo na kuidhalilisha biashara hii iliyosajiliwa kialali