Kenya wapata msiba mzito!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
nchi ya kenya imepata msiba baada ya waziri wake SAITOTI na watu wengenine sita kufariki kwenye ajali ya helcopter ya jeshi.hao sita nao wanasemekana pia ni viongozi wa serikali.nawatakia uvumilivu wakenya kwa kipindi hiki kigumu.R.I.P wote waliokumbwa na mauti
 
Hakika Comrade huu ni msiba mzito sana Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu walichonacho ndugu zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom