Kenya wagundua mafuta

Kifimbo Cheza

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
248
112
Sasa wenzetu watapaa, sisi TZ tumewazidi kwa rasilimali lakini walikuwa wapo juu kiuchumi sasa wamepata mafuta itakuwaje? Tujadili wanaJF.
 
Kama ni kweli. That is good news for them.

Hayo mafuta yatawafaidisha kama watatokomeza rushwa na ufisadi. Wakijitahidi hayo mambo mawili. Ninawapa miaka 3 tuu, kenya itakuwa zaidi ya South Africa.

Mkuu usilinganishe na Tanzania kabisaaa. Kama waziri wa madini ni "Malima mhuni" unategemea nini? Afu raisi wetu checkbob. Kila siku anaruka angani kama tiara.

Ebu niambie familia yenu inaongozwa na baba check-bob, what do you expect. Baba yeye kila siku yuko na washikaji tu, kwake hatulii. Baba ambaye hana ubunifu wa kujitengenezea kipato. Yeye anategemea misaada kutoka kwa "masela" hahhaa
 
mkuu umeponda sana. Ngoja tiss wakamate ip adress yako utawaeleza.
 
IP address??

Watu wanaingia na kuvinjari Web site za Pentagon FBI na CIA kama wanaria!!
Internet siyo siri wengine hapa tunaficha majina yetu halisi kwa kuogopa Baba na wajomba zetu wasizimie kwa ukali wa hoja zetu.

Back
Top Bottom