Kenya voted ugliest in Africa, what is the position of Tanzanians

Wabongo bana kwa kujidai, kuna watu wanaovutia na wasiovutia, hata sisi tunaojidai kuchonga chonga kuna mwanamke akipita lazima tumsindikize kwa macho, labda wakitoa list ya unafiki na kujidai tu wakarimu sana wabongo tutashinda.. Btw naonaga kwenye churchill show kunakuwaga na mademu wazuri kweli au ni wa nairobi tu..?

Mazee Kenya kuna madem poa,nilisoma huko bwana. Wazungu wasilete vigezo vyao ivo,lkn hawafikii rwanda
 
Lisemwalo lipo. Mimi ni Mkenya. Kuna waliojaliwa umbo la kuvutia, na pia kunao wenye umbo lisilovutia. Ukweli usemwe. Tukubali uamuzi manake hajafanya mtu mmoja maamuzi, mbali wengi wadadisi walioamua kwa pamoja, na si kwa kubahatisha mbali walitegemea vigezo fulani. Vigezo ambazo zilitumika sawa kwa wote walioshirikishwa. Wakenya tukubali ukweli.
 
Usikute we unae mwambia mwenzio ugly,kumbe yeye yuko na image ya God, hvyo ni bora kufanana na God kuliko shetani
 
Kweli bhana.., Kenya wana traits za ajabu. USHAURI: wa-avoid inbreeding depression, wajitahidi kuoleana na Wanyarwanda.., with time these undesirable traits will disappear..
 
Kweli bhana.., Kenya wana traits za ajabu. USHAURI: wa-avoid inbreeding depression, wajitahidi kuoleana na Wanyarwanda.., with time these undesirable traits will disappear..

f*ckin bullsh!t, unamaanisha nini ukisema inbreeding? watu ambao wako restricted na borders ndio wanashabikia mambo ya kishamba kama haya. tembea aise, fika Adis upate mmoja, ingia Bujumbura, Goma, Kigali, Nairobi, Accra. Kampala, maputo, cape twn, kisha uje unisifie urembo Afrika na wewe umekwama hapo manzese unadhani mambo tosha, tembea utoe ushamba.
 
Kweli bhana.., Kenya wana traits za ajabu. USHAURI: wa-avoid inbreeding depression, wajitahidi kuoleana na Wanyarwanda.., with time these undesirable traits will disappear..

we jamaa nadhan huwa unatawaza kwa kutumia gunzi la mahindi!
 
Wakenya wana matege hadi Kwenye meno. Kwenye mashindano ya riadha wanashinda kwa sababu wanoshindana nao wanakuwa na hofu na kujiuliza maswali mengi hivi huyu aliyevaa nguo imeandikwa Kenya ni mnyama gani?
 
Back
Top Bottom