Kenya, Uganda wanaandama kwa kupanda kwa bei ya mafuta... Tz nduhu taabu nkoi!

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Serikali ya Kenya imeshusha ushuru kwenye bei ya mafuta baada ya wananchi kuanza kuandama (lita moja walikuwa wanalipa KShs19 na ushee ambayo ni sawa na kama 342) sisi tunalipa zaidi ya Tshs 540 kwa lita na tumetulia tuli huku bei ya mafuta ikiendelea kututesa .... ama kweli Tz mambo poa....

Inabidi tuwapigishe jamba jamba wapunguze bei na matumizi ya serikali, serikali yetu imejaa anasa tu na wanaendelea kutunyonya..
 
...tukiandamana, mashehe nao wanaitisha parallel demonstrations kupinga maandamano yetu eti kwa vile tunam-subotage Muislam mwenzao!!! labda huko Kenya na Uganda walioandamana ni waislam tu kwa vile marais ni wakristo.
 
Definition ya maandamano kwa nchi yetu ipo tofauti sana na nchi za wenzetu. Kwa mujibu wa CCM maandamano Tanzania yanamaanisha kuvunja amani tuliyo izoea, wakati mahala pengine maandamano ni njia mojawapo wa kuelezea hisia ya watu juu ya jambo fulani.
 
Back
Top Bottom