KENYA: Tume huru ya uchaguzi inafanyiwa interview 'Live' na panel ya majaji!

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,174
Kuna watu huwa wanadhani kuwa hakuna lisilowezekana hapa Afrika, sasa hivi kuna interview inafanyika ya kuipata Tume huru ya uchaguzi ya Kenya (Independent Electoral Boundaries Comissionar - IEBC) kupitia television ya NTV live.

Utaratibu uliotumika ni kuchukua form na kuijaza na baadae kuirejesha, ila kuna baadhi waliorejesha na kuondolewa baada ya kugundulika kuwa tangu walipomaliza elimu yao hawakuweza kurejesha mikopo ya board waliyokopeshwa kipindi cha masomo yao.

Hii panel ya majaji inayowafanyia interview ilipitishwa na bunge na kuapa mbele ya bunge la Kenya kutofanya upendeleo wowote ule, kwa kujua zaidi soma hapo chini,

The boundaries for all the electoral areas are to be drawn by an Independent
Electoral and Boundaries Commission ( IEBC). The commission is responsible for:
  1. the continuous registration of citizens as voters.
  2. the regular revision of the voters roll.
  3. the delimitation of constituencies and wards.
  4. the regulation of nomination of candidates by political parties.
  5. the settlement of electoral disputes other than petitions.
  6. the registration of candidates for election.
  7. voter education.
  8. the facilitation of the observation, monitoring and evaluation of elections.
  9. the regulation of the amount of money that may be spent by or on behalf of a candidate or party in any election.
  10. the development of a code of conduct for candidates and parties contesting elections.
  11. monitoring compliance with the electoral laws.
  12. supervising referenda and elections to any elective body or office established by this Constitution.
  13. review the number, names and boundaries of constituencies at intervals of eight and twelve years.

The selection panel for the independent electoral and boundaries commission has said it will not bow to political pressure in the process of choosing the iebc commisioners. The panelists have defended themselves against accusations of bias, saying they were faithful to the law and the constitution in the process. Ktn's noah otieno reports.
 
hawa jamaa wanakuwa very realistic katika masuala yanayohusiana na maslahi ya taifa lao na wemedevelop mapenzi kwa nchi yao na sio unafiki. Nina uhakika mtu akipita hiyo interview atafanya kazi maana anajua fika kuwa hajawa favored na yeyote
 
We should learn on how to solve the problems and not how to create the ploblems of taking Tanzanian resourses to America,

Nairobi County 26TH September, 2011
By DAVID MWERE


Ekuru Aukot


The critical stage of constituting the Independent Electoral Boundaries Commission (IEBC) starts on Monday 26th morning at KICC.

The exercise, open to the media and public, is set to continue for the next nine days. Six candidates are expected to be interviewed daily with each allocated thirty minutes of interview.

This comes after the selection panel headed by Ekuru Aukot shortlisted 44 candidates from the over 430 applications that had been received by the panel after an advertisement in the local dailies.


Though the criteria for short listing the 44 individuals generated political accusations and counter accusations, Aukot has maintained that the process was above board.


A section of politicians allied to the G7 and PNU Alliance groupings have been on record casting aspersions to the mode of selection.


Eldoret North MP William Ruto, Vice president Kalonzo Musyoka and Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta have been accusing the selection panel of favoring the ODM wing of the government.


The MPs have since threatened to shoot down the list once it comes before the floor of the house for debate.

The candidates are expected to appear before the panel to demonstrate why they should be considered to be members of the commission that is tasked with conducting election and referenda and, also delimiting of boundaries.

The panel is expected to forward thirteen names to President Mwai Kibaki and Prime Minister Raila Odinga to choose eight designate commissioners and a chairman before transmitting the list to the parliament for approval and formal appointment by the president.


The IIEBC seeks to replace the Isaak Hassan led Interim Independent Electoral Commission (IIEC) and the defunct Interim Independent Boundaries Review Commission (IIBRC) headed by Andrew Ligale, merged under the new constitution.


Hassan is one of the five individuals who were shortlisted for the post of commission chair. Ligale's quest for membership however, did not go beyond selection.


The other IIEC and disbanded IIBRC commissioners who were confirmed for interviews include Ken Nyaundi, Abiud wasike and Yusuf Nzibo and Mwenda Makathimo, Jedidah Ntoyai and Abdurahaman Sharawe respectively.


Commissioners Winnie Guchu, Douglas Mwashigadi, Davis Chirchir, Tiya Galgalo and Hamara Ibrahim from IIEC were not shortlisted, an argument the politicians advanced that the new IEBC commission would lack experience for continuity.


The IIEC has been hailed for conducting successful by- elections and the 2010 referendum on the new constitution, despite credibility test of widespread corruption within the commission in tendering, procurement and nepotism in the hiring of the secretariat staff.


James Oswago's personal assistant Allan Odongo was suspended for spreading damning revelations against the IIEC malpractices.

 
Mkuu kiukweli jamaa wako serious maana kama unauwezo wa kufungua television ya NTV ni maswali ya kujenga na hadi anayefanyiwa interview anachanganyikiwa.

Na ni kila siku siyo mara moja hadi wahakikishe wanampata mtu aliyehuru,,maana ni kwamaba hawa watakaokuwa ndani ya hii tume hawatakuwa chini ya mtu yeyote kwa kuhofia kuachishwa kibarua hapana!!!

By Peter Opiyo


Competing political and regional interests could spill over to the process of picking commissioners for the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) as leaders try to influence the selection of new election managers.

After the Selection Panel short-listed 44 applicants to face interviews for the IEBC jobs, there were reports some politicians were unhappy with failure by majority of commissioners serving in the Interim Independent Electoral Commission to make it to the list of those to be interviewed.

nh160911_03.jpg
FROM LEFT: Isiolo South MP Abdul Bahari with his counterparts, Peris Simam (Eldoret South) and Mohamud Mohamed (Moyale) address the media on the selection process of the IEBC at Parliament Buildings, yesterday. [PHOTO: BONIFACE OKENDO/ STANDARD]





On Thursday, some Members of Parliament from Upper Eastern and Rift Valley came out in the open to question the criteria used by the panel, claiming it shunted aside some of those who were up to the task.

Their complaints seemed to ignore the fact that the process of recruitment is supposed to be devoid of political considerations, because of the level of independence, integrity and professionalism required of those who will oversee future elections and demarcation of the 80 new constituencies created by the
Constitution .

Despite the fact that Parliament will vet and approve the final nine members who the panel will pick to sit in IEBC, it is anticipated MPs will do so purely on basis of merit, track record and professionalism.


The five MPs who spoke out argued that a commissioner who spearheaded the electronic voter registration in IIEC, as well as ‘highly qualified individuals from upper Eastern' in the interim body, were unfairly left out.


Konoin MP Julius Kones termed the list ‘unfair' pointing out that even the Commissioner who came up with the new mode of voter registration did not make it to the list.


"There must be transparency in the process. So far it looks like the list is unfair, it looks like the list has been predetermined," argued Kones.


North Horr MP Chachu Ganya claimed some of the' highly qualified' individuals, from upper Eastern Province, who applied to be members of the commission were left out.


"We are doubting the independence of the process. People from Upper Eastern who were highly qualified have been left out. They have done this for their own reasons. Our confidence is low on this panel," said Chachu.


But the panel's Chairman Dr Ekuru Aukot dismissed the allegations saying the selection was thorough, and merit, integrity, gender, regional consideration and retention of expertise, were considered as required by the Constitution.


"There was never any interference with the process. We had very thorough selection criteria. We had a first, second and third selection before we came up with the final list of 44. In fact, we have a report for each stage and we will make them available," Dr Ekuru told The Standard.


Applicants

The Panel picked three of them members of the IIEC for the short-list of 44 applicants.
Another three came from the defunct Interim Independent Boundaries Review Commission.

Those from IIEC are Yusuf Nzibo, Simiyu Wasike and Kennedy Nyaundi while Mwenda Makathimo, Abdullahi Sharawe and Jedidah Ntoyai were commissioners of IIBRC.


Interviews start on September 26, and the Panel is expected to come up with a list of 13 names and forward them to the two principals who will pick eight names for vetting by Parliament.


Selection for the position of Chairman is yet to be done, but the law requires that three names for position of chairman be forwarded to the principals to pick one for parliamentary approval.


The Commission will have eight commissioners and a chairman.

Isiolo South MP, Abdul Bahari argued that some of the IIEC commissioners should have been included in the list given that they held a successful constitutional referendum and that they have effectively managed almost a dozen by-elections.

"IIEC carried out many by-elections and a referendum and given that they are not shortlisted then it raises questions about whether the process is free and fair.


They should at least be accorded an opportunity for an interview.

It is unfair to exclude them at this point for interview," said Mr Bahari.

The MPs claimed there was some political interference with the exercise and that the list was pre-determined.


"Where there is smoke there is fire, the list is skewed, politically motivated," said Eldoret South MP Peris Simam whose sentiments were echoed by Mr Bahari and Moyale MP Mohamud Mohamed.
 
Kila kitu huwa kina mda wake inabidi watz tuungane kudai tume huru tofauti na hapa tumekwisha maana inasadikika kuwa mwaka 2020 nchi itakuwa mikononi mwa makaburu kama unabisha nenda wizara ya mambo ya ndani kama utakuta kuna viza za hawa makabulu,,wanaingia hata nchi haijui hadi pale watakapokuwa robo ya watz ndo serikali itashituka ila sisi kazini kwetu tu wako zaidi ya 180...sijui kwenu wako wangapi!!!
 
Tungekuwa twapenda haki na democrasia ya uklweli tungejifunza toka zambia alfu unachanganya na mazuri ya akina onyango katika selection ya tume,judge mkuu etc
 
Kenya hao...wanatupiga bao kila siku!

Waache waende zao maana wameweka mbele maslahi ya nchi yao badala ya maslahi ya watu wachache wenye uroho wa utajiri wa haraka haraka. Naona kuna haja ya kutumia utaratibu kama huu wanaotumia Wakenya katika kupata tume huru ya uchaguzi, lakini kwa majaji wetu walivyokuwa mstari wa mbele katika kupokea rushwa basi hata katika hili swala muhimu kwa nchi wanaweza kuchukua hongo ili kuwaweka mamluki watakaotumika katika kuvuruga chaguzi.
 
hawa jamaa wanakuwa very realistic katika masuala yanayohusiana na maslahi ya taifa lao na wemedevelop mapenzi kwa nchi yao na sio unafiki. Nina uhakika mtu akipita hiyo interview atafanya kazi maana anajua fika kuwa hajawa favored na yeyote

Mkuu wameisha umwa na nyoka, sasa hata wakiona ukamba tu lazima wastuke. Sisi phase hiyo ya kuumwa na Nyoka bado hatujaipitia, wanasiasa kila siku huwa hawafanyi mambo kwa matakwa ya wananchi mpaka pale watakapoona kuwa wananchi wanataka kweli kwa vitendo.

Tanzania si unique katika attitude hiyo. Chukulia mfano kidogo tu uchaguzi wa mwaka jana, kwenye majimbo ambayo upinzani ulishinda utangazaji wa matokeo haukuwa rahisi mpaka pale uzuiaji upotishia amani ya nchi. Utamaduni huu wa LETS DO AND SEE, NDIYO UNAOWAFANYA KENYA LEO KUWA WAMEONA. Siamini na sina imani na anything done by CCM kuhusu kukuza demokrasia yetu ila wananchi wakitaka kukuza demokrasia basi CCM haitakuwa na jinsi zaidi ya ku-bow, na hiyo itatokea baada ya KUONA.
 
Mkuu wameisha umwa na nyoka, sasa hata wakiona ukamba tu lazima wastuke. Sisi phase hiyo ya kuumwa na Nyoka bado hatujaipitia, wanasiasa kila siku huwa hawafanyi mambo kwa matakwa ya wananchi mpaka pale watakapoona kuwa wananchi wanataka kweli kwa vitendo.

Tanzania si unique katika attitude hiyo. Chukulia mfano kidogo tu uchaguzi wa mwaka jana, kwenye majimbo ambayo upinzani ulishinda utangazaji wa matokeo haukuwa rahisi mpaka pale uzuiaji upotishia amani ya nchi. Utamaduni huu wa LETS DO AND SEE, NDIYO UNAOWAFANYA KENYA LEO KUWA WAMEONA. Siamini na sina imani na anything done by CCM kuhusu kukuza demokrasia yetu ila wananchi wakitaka kukuza demokrasia basi CCM haitakuwa na jinsi zaidi ya ku-bow, na hiyo itatokea baada ya KUONA.

Asante. Change comes when the people really want change. Sisi hatujafikia hatua ya kutaka mabadiliko. Kuna wakati madudu haya yaliendelea Kenya kweli. angalia hii documentary ujifunze historia yao mpaka walipofikia kuandika Katiba mpya mwaka jana! Ni watu wachache sana Tanzania wanataka mabadiliko. Ngojea kina Slaa waendelee kuhamisisha watu. Tupo stage za watu kujaza mikutano bila kupiga kura. Tuna watu waoga na wasio thubutu. Na mwisho tuna walafi wengi. Anapewa pesa kidogo anauza kura, nk. Ivi unajua kuwa mpaka ifike mtu yupo tayari kukulipa kupata kitu, ina maana kuwa hicho anachotaka kina thamani sana zaidi ya hicho alichokupa? Ni sawa na Vodacom wanavyotoa zawadi za magari. Ivi unadhani ni kwa vile wanawapenda? Wanachopata hapo ni zaidi ya thamani ya hilo gari.
<font size="3">
 
Last edited by a moderator:
Kenya nowdays they have changed, it is the outcome of violation after general election. Hapa Tanzania kuna haja ya kushikanishana abdabu kwanza ndiyo HESHIMA iwepo kama Kenya.
 
Inawezekana bila hata kutiana adabu, kwanza,CCM si wa mkwara mkubwa kiivo,sinema kamili tutaiona wakati wa katiba mpya.
Natamani watu wawekwe accountable kwa ukwapuaji wa fujo wa mali za watanzania
 
Ivi nyie watu ambao hata hamjui kiasi gani Rais analipwa mnalialia nini? Mie naboreka sana nikifikiria Tz na sehemu tulipo. Kazi kubwa ni kushinda bar!
 
KATIBA MPYA ndio iliyowafikisha hapa. Sisi tunaikubali na tunaitumia kikamilifu Katiba hii mbovu tulionayo. CHADEMA wameitumia kufukuza madiwani wao kule Arusha. Vyama vyote vimeitumia kule Igunga. Hakuna haraka. Tutafika tu. Tuendelee kulinda "AMANI na UTULIVU" walootuachia waasisi wa Taifa hili!
 
Mkuu wameisha umwa na nyoka, sasa hata wakiona ukamba tu lazima wastuke. Sisi phase hiyo ya kuumwa na Nyoka bado hatujaipitia, wanasiasa kila siku huwa hawafanyi mambo kwa matakwa ya wananchi mpaka pale watakapoona kuwa wananchi wanataka kweli kwa vitendo.

Tanzania si unique katika attitude hiyo. Chukulia mfano kidogo tu uchaguzi wa mwaka jana, kwenye majimbo ambayo upinzani ulishinda utangazaji wa matokeo haukuwa rahisi mpaka pale uzuiaji upotishia amani ya nchi. Utamaduni huu wa LETS DO AND SEE, NDIYO UNAOWAFANYA KENYA LEO KUWA WAMEONA. Siamini na sina imani na anything done by CCM kuhusu kukuza demokrasia yetu ila wananchi wakitaka kukuza demokrasia basi CCM haitakuwa na jinsi zaidi ya ku-bow, na hiyo itatokea baada ya KUONA.
Kenya walianzia mbali uliza habari za Kamkunji,mabomu ya machozi na risasi, haki haipatikani kirahisi kuna gharama!!!!!!!!!!Tuongeze na maombi kuombea taifa hili tulipendalo Mungu Baba aingilie kati viongozi mioyo yao iwe na hofu ya Mungu!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu hadi leo tunaongea kuna baadhi ya viongozi wa Kenya wapo kwenye mashitaka huko THE HAGUE kwa mauaji wa watu mwaka 2007 kwa kung'ang'ania madarakani,yupo Ohuru Kenyata na Karonzo Msyoka sasa hii inaonyesha kuwa Kenya are SERIOUS,,, hata sisi hii katiba tunaitaka na tume ya uchaguzi iliyohuru tunaitaka ili watu watume maombi na kufanyiwa interview ili wawe ni waajiliwa wa watz na siyo waajiliwa wa rais,,, kama alivyo rais wa TFF.
 
Back
Top Bottom