Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,146
- 79,301
mambo ya kusisitiza kwamba kenya tuna njaa kali. ni nini unaeza fanya ikiwa ukame iko afrika. 1984 Kenya ilishawahi kupigwa na ukame kali. Kwahivyo, mtu anasititiza juu ya ukame. Jibu ni watu walipata misaada mbali na wengine kufa. Lakini njaa sio tu changamoto africa, kuna mengi mengine. Haya mashirika ya misaada, lengo lao si kumaliza hizi vitu. Maombi yao ni kuendelee kuaribika wakae humu wakifanya kazi za misaada. La msingi huwa, hawataki kushirikiana na Serikali, wala raia wa kawaida, wanataka kufanya vitu there way. Serikali ya kenya imewahost wakimbizi wengi siku nyingi. Dhana ilikuwa kwa muda huo wote, wangepata suluhisho, lakini bado.
Sasa vyombo vya habari pia zinaeza kuzembea kupeperusha habari tuseme. For the case of Tanganika people kukaa njaa ni jambo la kukosa kutuma waakilishi katika hizo sehemu ambayo si kitu chema. Siasa za mainstream utakuta wanafaidika sana na raia wa mashinani lakini hawajali maswala yao. Our media saa zingine zinaeza focus too na mambo ovyo za mijini, miundo mbinu, mijengo, waekezaji, uchumi na mashinani naye kunaungua.
Kwa taarifa yako hata tanzania kunakuwa na ukame mara nyingi ila serikali hu-entervene na kugawa chakula cha misaada on time! So no excuses ati Kenya ina ukame! mbona Kenya is the 4th leading tea exporter in the World? mbona wasitumie same efforts kulima chakula?